Madadapoa wapanga kuandamana ijumaa kupinga unyanyasaji wa serikali kwa ma dk;kutoa bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madadapoa wapanga kuandamana ijumaa kupinga unyanyasaji wa serikali kwa ma dk;kutoa bure

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Mar 7, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,110
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Katika yale yanaoonyesha sasa kumekucha
  wale madada zetu wanaokuwepo kwenye bar mbali mbali kwa ajili ya kuhtimisha hamu za kaka zetu
  wa aina mbali mbali sasa wamepanga kuandamana wakianzia salenda kwenda wizara ya afya kulalamika unyanyasaji wa serikali kwa ma dk..katika kuhakikisha hili limewagusa mwenyekiti wa madadapoa heney sakiwa wamepanga kutoa bure baada ya kufika wizarana na kuonana na waziri husika na kinachotakiwa ni usafiri wako tu na si kingine

  nahisi ikitokea taasisi zingine 5 zikaandamana akika akuna upuuzi serikali hii wataifanya
  nawatakia kila la kheri katika mbinu mpya kuokoa jahazi hospitali zetu
   
 2. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  sasa namna hii watu wakimisi vya bure si watakuwa wanagoma ili machangu watoe tena?au kama wanataka kumpa bure mpondwa wampe tu!
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Sa ngapi vile umesema?condom kwa gharama zangu ama zao.
   
 4. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Mungu wee toba saa nne kachukue aids kama hujipendi
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  This is the end of the world really.
   
Loading...