Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Kwa hiyo hata akina kaka hawaruhusiwi? Ila inaonyesha akina mama ruksa maana yeye anawaongelea wadada tuu

Yap kawabana kina sasa tu basi .. hapo a

Alipo ongelea saa 7-8 za usiku duhh alijuaje kama hakuwa humu muda huo ..? Na anauhakika gani ya kwamba ni wadada kweli ?
 
Kama hofu na mashaka unayo mbona ukakawia kuuliza? Mi hali yangu sio nzuri, akili inataka JF tu.
Akili yako kutaka JF tuu ndio hofu na mashaka yangu. Maana nimesikia founders wa JF nao wanataka kuiweka JF offline kwa masaa 24 kuungana na Wikipedia kupinga huo mswada mpya wa Marekani.
 
Bila shaka na wewe ni mmoja wa hao! maana ni vigumu mtu kumtuhumu mtu uchawi kama na yeye si mchawi ! kwahiyo na wewe tunakuomba ubadilike! Hivi hujui hii JF ina watu wanaoiangalia kutoka kila pembe ya Dunia? na pia hujui kama kila pembe ina tofauti ya masaa, huku wengine wakilala kwengine kunakuwa mchana na kadhalika ...
 
Vipi na wewe unataka uvishwe za kiunoni au? Bwabwa nini?

Hapo kwenye red una maanisha ubwabwa?
Besides kuna hoja hujajibu hapo chini.

Yap kawabana kina sasa tu basi .. hapo a

Alipo ongelea saa 7-8 za usiku duhh alijuaje kama hakuwa humu muda huo ..? Na anauhakika gani ya kwamba ni wadada kweli ?

Hapo sasa. Lazima atakuwa amefanya uchunguzi wa kina.
 
Hapo kwenye red una maanisha ubwabwa?
Besides kuna hoja hujajibu hapo chini.

Hiyo ya chini hata wewe unaweza kuijibu!
Ya juu za kuambiwa changanya na zako.
 
Akili yako kutaka JF tuu ndio hofu na mashaka yangu. Maana nimesikia founders wa JF nao wanataka kuiweka JF offline kwa masaa 24 kuungana na Wikipedia kupinga huo mswada mpya wa Marekani.

Loh mbona naweza nikaacha kupumua kwa muda?Inabidi unitafutie kitu cha kufanya ili hofu na mashaka visikuzonge.
 
Hiyo ya chini hata wewe unaweza kuijibu!
Ya juu za kuambiwa changanya na zako.

Ya chini ilikuwa imeelekezwa kwako
Ya juu baada ya kuchanganya na zangu nimekuta ni ubwabwa.
 
Ya chini ilikuwa imeelekezwa kwako
Ya juu baada ya kuchanganya na zangu nimekuta ni ubwabwa.

Poa kaka RESPECT acha tumalizane na da Lizzy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…