klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
ha ha ha happy new year shem,Klorokwini
Happy New Year shemeji Lawyer.
Jana tu niliulizwa uliko, nami nikauliza uliko.
Kuna mtu anataka umsaidie kesi ya madai!
Heri ya mwaka mpya,
with this post coming from inside you, nadhani mwaka mpya wangu utakuwa na baraka sana aisee.
U were missed beyond explanation.
mwaga razi
Unajua unachodaiwa lakinii?
Will try my best honey! but for this year I can't guarantee.Usipotee sana.
heheeh mbona nishajua zamani tu, unaongea na lawyer. Think Lizzy! think.
Halaf kipipi nilikuota unanipigisha mswaki. hakyanani sitanii
ngoja na mimi niwavizie usiku tuone kama kweli hawalali!
heheeh dah! huyu ndo kipipi bana! wengi wanasema alizaliwa sept/11mmmh.....ndoto zingine kama nguvu za giza ati!! Nenda continental kwanza ukamuone AshaDii ametinga pensi nyanya huku mfukoni kajaza viloba vya ubuyu!! Lol!
Haha Shem bwan , Client ni Mwanaume ila mtuhumiwa ni mwanamke!! Mwanamke anataka kutoa talaka mwanaume (ambaye atakuwa client wako) hataki kuipokea!!ha ha ha happy new year shem,
hiyo kesi ina maslahi na mimi? client ni mwanamke?
Naomba nijibu kwa ufasaha shem
Haha Shem bwan , Client ni Mwanaume ila mtuhumiwa ni mwanamke!! Mwanamke anataka kutoa talaka mwanaume (ambaye atakuwa client wako) hataki kuipokea!!
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.
Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??
Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
sometimes dont take JF too serious to cross that line, you know it better.
What's there to deal with dearest? The man has nothing to offer.
Mi mbondei we mmasai wapi na wapi?? Chapa mwendo!
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.
Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??
Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
Dah! kibuti kwa lugha ya taifa, yaani kila mtu kaelewa.Mi mbondei we mmasai wapi na wapi?? Chapa mwendo!
Ama kweli kila mtu ana uchizi wake!