Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Atubela

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
749
Reaction score
854
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.

Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??

Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
 
Mambo zenu wadada?na ww umejuwaje kama ushindi usiku wa manane?ngoja wanakuja wadada kukujibu,Mx
 
Mi sina ndoa na kazi yangu ni kukaa nyumbani tu, so hujanigusa kabisaaa!! Lol
 
kwani hao mashemeji wamekuja kukulalamikia hawapati huduma? mambo mengine hayakuhusu!
 
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??
.

Kwa hili kweli linawezekana mana nilishang'oa mmoja pale b.bar wakati 2po kwnye bajaji 2naelekea eneo la 2kio nikaona anabrowse jamiiforums ...... ID yake niliona inaanza kama na mich.... au faiz....
 
Unapotaka mtu abadilike unamtaka kwa vigezo vipi? Umesikia kwamba shuguli zake hazifanyiki? Au basi tu mazoea ya mtu hawezi kufanya jambo moja at once?

Japo sina haja ya kujitetea kwako naomba tu nikupe picha kidogo ya namna nnavyofanya mambo yangu kwasababu mimi ni mmoja wa watu wanaoonekana muda mwingi pale nnapoamua kufanya hivyo.

Muda wa kunywa chai asubuhi naperuzi JF, nikiwa nafanya kazi zangu shuleni nachangia mada katikati kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa kwenye simu mikono inatype, wakati mwingine hata nikiwa njiani/dukani nakuwa online kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa naandika mambo yangu naweza nikawepo JF pia, jioni nikiwa napika ule muda wa kusubiria hiki kiungue, kile kichemke naweza nikaandika kitu JF, nikiwa nimepumzika na tv naweza nikawa online kwa wakati huo huo, nikiwa nasoma/fanya kazi zangu za shule naweza nikawa active JF, nikiwa navuta usingizi naweza nikaingia JF, nikishtuka usiku naweza nikaingia JF kama ambavyo hua naishia kuangalia TV kabla ya kurudi kulala.

So far sioni uwepo wangu wa JF unanipunguzia nini, napika, nakula,naoga,naenda shule na nnafanya kazi zangu, natimiza majukumu yangu mengine ambayo ni binafsi kidogo, nafua, nafanya usafi, nalala, napumzika, naongea na ndugu/marafiki zangu/waliopo karibu naonana nao n.k

Sasa niambie UNATAKA nibadilike kwa faida ya nani?
 
Dunia haiko Flat, kukiwa mchana huku, kule ni usiku.
Afu ukiwa na intanet, unaweza acess jf popote ulipo duniani, si lazima uwe tanzania tu.
Haya, na wewe usiwe unaamka kuangalia usiku hawa wadada wanafanya nini.

Siku njema,
Mamabibi
 
mmh! Napata wasiwasi kwako,we umejuaje km mda wote wapo jf au huwa unaview nyuzi zote ktk majukwaa yote?
 
Dunia haiko Flat, kukiwa mchana huku, kule ni usiku.
Afu ukiwa na intanet, unaweza acess jf popote ulipo duniani, si lazima uwe tanzania tu.
Haya, na wewe usiwe unaamka kuangalia usiku hawa wadada wanafanya nini.

Siku njema,
Mamabibi

aah ha hahahaaa....dah!! Nilijua tu, siwezi soma post ya kongosho halafu nisicheke! Duh.....eti mamabibi lol!!
 
Unapotaka mtu abadilike unamtaka kwa vigezo vipi? Umesikia kwamba shuguli zake hazifanyiki? Au basi tu mazoea ya mtu hawezi kufanya jambo moja at once?

Japo sina haja ya kujitetea kwako naomba tu nikupe picha kidogo ya namna nnavyofanya mambo yangu kwasababu mimi ni mmoja wa watu wanaoonekana muda mwingi pale nnapoamua kufanya hivyo.

Muda wa kunywa chai asubuhi naperuzi JF, nikiwa nafanya kazi zangu shuleni nachangia mada katikati kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa kwenye simu mikono inatype, wakati mwingine hata nikiwa njiani/dukani nakuwa online kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa naandika mambo yangu naweza nikawepo JF pia, jioni nikiwa napika ule muda wa kusubiria hiki kiungue, kile kichemke naweza nikaandika kitu JF, nikiwa nimepumzika na tv naweza nikawa online kwa wakati huo huo, nikiwa nasoma/fanya kazi zangu za shule naweza nikawa active JF, nikiwa navuta usingizi naweza nikaingia JF, nikishtuka usiku naweza nikaingia JF kama ambavyo hua naishia kuangalia TV kabla ya kurudi kulala.

So far sioni uwepo wangu wa JF unanipunguzia nini, napika, nakula,naoga,naenda shule na nnafanya kazi zangu, natimiza majukumu yangu mengine ambayo ni binafsi kidogo, nafua, nafanya usafi, nalala, napumzika, naongea na ndugu/marafiki zangu/waliopo karibu naonana nao n.k

Sasa niambie UNATAKA nibadilike kwa faida ya nani?

dah......umejitahidi kuelezea ila atakuuliza tu, it seems ye swala la mashemeji ndo linamtatiza sana!!!
 
Back
Top Bottom