Madada acheni tabia za kilocal

unaombwa vocha ya buku unalalama je swift si utazi-mia

ukitaka upate zaidi ya vocha usitoe makucha mapema.nisumbue kidogo basi.sasa wewe unakimbilia kuonyesha udhaifu wako mapema.hapo kama nakuhitaji nakurushia hiyo vocha,nakutumia m-pesa lunch halafu nakwambia jioni nakupitia tukapunge upepo mzalendo pub.huko ukitoka salama utakua jike kweli.mia
 
hakuna kitu kinachonifurahisha kama mkaka unasafiri nae,mnapiga stori hadi mnafika kila mtu aendako,mnashare hadi idea za maendeleo. afu mnaachana kwa kutakiana kheri. mambo ya kuanza kugandana figga uache banaa,lol

mkuu hiyo inatokea kwa nadra sana.kuna makaka wengine wanaogopa madada.ukimuona kama huyo muanzishie maada uone anavyofunguka.utasika"hata mimi nilikua nakupenda".mia
 
hahaha! hiyo biashara ya kupendana kwenye mabasi unaiweza wewe tu figga. nishindwe kujilengesha hata kwa majirani ama ndugu za majirani? kha!
mkuu hiyo inatokea kwa nadra sana.kuna makaka wengine wanaogopa madada.ukimuona kama huyo muanzishie maada uone anavyofunguka.utasika"hata mimi nilikua nakupenda".mia
 
ahhaaaaaaaaaaaaaaa utaisoma namba

tutaisoma wote kuu.haiwezekani mtu muongee kidogo uanze kumpiga mizinga bila kujua an matatizo gani wala aibu.sasa kwanini utoe namba ya simu kama uliona sina haja ya kuisoma hiyo namba?mia
 
Wa2 kama nyie ndo nawataka kweli
mnaboa ile mbaya
utakuta mtu unamambo yako kibao kazi kuita tu dada dada
kama ndo mm nakuomba vocha humohumo kwenye gari.
maana najua ndo njia mojawapo ya kuacha usumbufu wako
mambo gani ya kutongozana kwenye madaladala.
 
Ki ukweli lazima uwe na kiasi c kila mwanamke wa kutongoza ati kisa umekaa naye siti moja mara 1 moja jiweke busy na mambo ya muhimu...
 
Tamaa si nzuri sana ktk maisha haya... Alifanya vema kukutishwa matatizo yk sasa unalalamika nn? Wenzio wanavitunza na kulea co acha kulalamika hamna bure
 
kabla ya yote naomba nikuulize swali,hiyo avator yako mbona imekaa kimafia?au ndos tyle mpya ya kututisha?mia
 
Back
Top Bottom