Madada acheni tabia za kilocal

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,364
23,447
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba ya simu anakujibu sina simu wakati unaiona.baada ya mda anakuambia labda unipe wewe namba yako nikubeep.unampa.kesho yake unampigia anakuuliza nani?baada ya kujitambulisha unasikia; ahaa..mambo baby..bora umenipigia yani simu yangu inasoma zero na kuna mtu nashida naye..tumie vocha..mpenzi sorry!
ACHA ULOCAL.mia
 
Mamaa Kigogo

Senior Member
Sep 26, 2011
105
43

safi sana me ningeomba vocha alafu ningekueleza matatizo yangu yote na mpaka ya ndugu zangu kijijini hiyo then utaamua kusuka au kunyoa ndo dawa wanaume kutongoza wanawake mmefanya kama ni promotion eheeeeeeee
 
Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,612
3,048
kawadanganye madada uliozaliwa nao tumbo mmoja wasiwe na ulocal ujionee kama hata mmoja atafika form six
 
Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka ..

Sababu kubwa ni kuwa wanaume wengi kama mimi na wewe ..tumewadanganya hawa kina dada hadi kujishusha thamani yetu. Mara nyingi akili ya mwanaume inakimbilia kwenye ..between the legs..

Dalili ya mvua ni mawingu.. Ukiona mdada kakustukia..Kaa kimya..siyo lazima kulazimisha uhusiano..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom