Madada acheni tabia za kilocal

kuna mdada mmoja nlishakaa nae kutoka mwenge kwenda posta nkamwona anahangaika kutaka kunsemesha akashinwa maskini
baadae mara ashike simu mara aniwekee mkono na kusema sory nkamwamngalia tu kwani
siku hiyo akili yangu ilikuwa haisomi network, tukashuka wote posta akajikaza kuniuliza benki ya CRDB iko wapi wakati inaonekana.
nkamwelekeza kwa kidole akasogea but huku akinianagalia nenda wapi,bahati yake ningekuwa kiwembe kama MS angeipata.
wakaka bahati zipo tu huna haja kuomba no ya simu wataomba wenyewe.
Huyo binti alikuwa hana mvuto.mia,buku
 
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba ya simu anakujibu sina simu wakati unaiona.baada ya mda anakuambia labda unipe wewe namba yako nikubeep.unampa.kesho yake unampigia anakuuliza nani?baada ya kujitambulisha unasikia; ahaa..mambo baby..bora umenipigia yani simu yangu inasoma zero na kuna mtu nashida naye..tumie vocha..mpenzi sorry!
ACHA ULOCAL.mia

sasa kwenye hizo usafiri utaomba namba za simu ngapi? na wewe acha hiyo tabia ya kuwa kila ukiona kichaka unabanwa na mkojo. vichaka vingine ni makazi ya "manyigu" na ni vya "upupu" pia
 
sasa kwenye hizo usafiri utaomba namba za simu ngapi? na wewe acha hiyo tabia ya kuwa kila ukiona kichaka unabanwa na mkojo. vichaka vingine ni makazi ya "manyigu" na ni vya "upupu" pia

hahahaa...huhuhuuu...vichaka vina nyigu na nyigu mwenyewe ndo huyo. lakini wasichana walio wengi ni nyigu.
 
Sasa hapo u- local wake nini................ulitaka akutumie wewe ndo awe foreign au ??????
 
Back
Top Bottom