Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Alidhani wanaume tunatulizwa na hizo hips za kichina. Utakuta tabia hovyo kabisa, jamaa kapiga mpaka kazalisha na katosa.

Aliona kuliwa na mnaijeria ni ishu sana, tupeanage tu jamani.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..

Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini kama Prof Kabudi, Job Ndugai, Paul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani kama Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..

Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..

Karibu mjengoni na chamani Madaam..

View attachment 1130743View attachment 1130745View attachment 1130746
Watu wana mkojolea vya kutosha
 
Muda ni Mwamuzi mzuri Lile Tako kumbe lilikuwa mchina nendeni mkalitizame muda huu
 
Back
Top Bottom