Mada yenye ukakasi: Majini yanayoishi nasi hapa duniani yenye umbo la kibinadamu (Demons/fallen angels in human form)

Unasema hakuna ndoa Kati ya jini na binadamu.

Swali langu kwako ni je,unasema haya Kwa sababu ya elimu ya dini uliyonayo(kadili ya maandiko ya dini) au ni utashi wako Tu mkuu..

je Una experience yoyote juu ya hili unalolitetea?

Mtu anayesema kwamba amewahi kukutwa na hili tatizo la jini mahaba unaweza kuthibitisha kuwa siyo kweli Bali ni michezo Tu?
 
Unasema hakuna ndoa Kati ya jini na binadamu.
Naam.
Swali langu kwako ni je,unasema haya Kwa sababu ya elimu ya dini uliyonayo(kadili ya mwandiko ya dini) au ni utashi wako Tu mkuu..
Elimu ya dini.
je Una experience yoyote juu ya hili unalolitetea?
Aam kupitia matukio ya watu na kusoma matukio hayo vitabuni.
Mtu anayesema kwamba amewahi kukutwa na hili tatizo la jini mahaba unaweza kuthibitisha kuwa siyo kweli Bali ni michezo Tu?
Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.
 
[Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.]

Yes mkuu nipe majibu ktk haya mawili
1.mchezo unachezwa na Nani
2.thibitisha hivyo vitimbi

 
Pia wapo...

Kwa Tz siwataji ila ..

Kwa mara ya kwanza ilikuwa Jana ulipoleta uzi humu kuhusu Jack Chacha wa Corner Bar (Ambiance)
Kuwa yeye ni Jini
na Leo hapa unakataa kuwa hauwezi kuwataja!
Kifupi JF umejiunga hata wiki haujamaliza ila nahisi una mambo mengi sana!
Unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti sana!
Binafsi nimekujibu tu ila sikutaka hata nikujibu coz ni mtu usiyeishi maneno yako!
Labda basi niamini kuwa wewe mwenyewe ndiye Jini au?
Hizi story za majini umekazana nazo sana Boss kulikoni?
 
Thank you for sharing...ngoja nimtafute huyo rachel
 
Nimekuelewa mkuuPole s.Kupitia maelezo yako kuna kitu nimejifunza kikubwa sn hasa hii koment

Kwamba ulitembea Kwa watu wa vitabu na watu wa miti shamba lkn hata sasa hujafanikiwa..mkuu Mshana Jr nashukuru Kwa ule ushauri
Mkuu iko hivi,sio kwamba tatizo halitibiki mkuu.
Linatibika sema tatizo ni uaminifu kwa Watanzania ni tatizo.
Mtu hata kama uzoefu hana wa hiyo shida anajitutumua ili mradi apate pesa ya kununua mchele.
 
Sawa tukiachana na hayo.
Wewe ulijifunza wapi au maandiko gani ambayo yanasema jini hana uwezo wa kumuingilia binadamu au kuzaa naye?
 
Ndoa ya kiroho kati ya mwanadamu na jinni ipo, hivyo unavyosema vitimbi hizo ndizo ishara kuwa uko katika hiyo ndoa.

Ndoa hii haiwezekani katika ulimwengu wa mwili, ila katika ulimwengu wa roho.. sasa ikisha tekelezwa katika ulimwengu wa roho majibu yake yanaweza jitokeza kwenye ulimwengu wa mwili.. hapo ndipo zinapokuja dalili...

Nyingi ya ndoa hizi husababishwa na wao majinni.. lakini baadhi husababishwa na wanadamu wenyewe kwa kufungua MALANGO mbalimbali ndani ya miili yao/nafsi/roho zao.

SULUISHO.
1.Nenda mbele za Mungu Omba Toba kwanza..

2.Damu ya Mwana wa Mungu, hii ndio kiboko ya damu na roho zote chini na hata juu ya mbingu.
 
Kuna kitu hukijui na sio kimoja wala viwil, ila acha nikae kimya maana maneno yangu yanaweza kuamsha hisia tofaut.
 
Amini unachoamini, ila ukweli ni kuwa majini walio na umbo la kibinadamu hapa duniani wapo, na tunaishi nao Aisha j
hiyo inaitwa luga gongana,anachokikataa mwenzako hapo ni kuwa jini ni kiumbe tofauti na Malaika ni kiumbe tofauti...Malaika hawaasi na wanafanya walichoamrishwa na Muumba wao kwamba ibilisi ni uzao wa majini walioasi na sio uzao wa Malaika(Malaika wameumbwa kutii amri ya Mungu pekee hawana choice ya kuasi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…