Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 5,845
- 22,799
Unasema hakuna ndoa Kati ya jini na binadamu.Naposema kumchezea ni kumfanyia jambo la uongo na kumfanya mtu asiwe na hali ya kutaka kuoa au kuolewa. Majini wamepewa uwezo huo. Kuna watu unakuta wanachukia kufanya tendo la ndoa au wengine wanakosa hamu kabisa,hii ni miongoni mwa dalili za kufanyiwa vitimbi na majini,lakini hakuna tendo la ndoa baina ya jini na mwanadamu. Japo kuwa ukisoma vitabu vya wanazuoni wa kale husema ya kuwa ndoa kati ya jini na mwanadamu ipo,lakini kuna mambo wanashindwa kuyaweka kazi sababu ukweli ni kinyume chake.
Swali langu kwako ni je,unasema haya Kwa sababu ya elimu ya dini uliyonayo(kadili ya maandiko ya dini) au ni utashi wako Tu mkuu..
je Una experience yoyote juu ya hili unalolitetea?
Mtu anayesema kwamba amewahi kukutwa na hili tatizo la jini mahaba unaweza kuthibitisha kuwa siyo kweli Bali ni michezo Tu?