miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mimi naona siyo sahihi , kwa sababu nitaona aibu asubuhi kuwaangalia wazazi kwa sababu watahisi usiku nilikuwa nafanywa matusi hata kama sijafanya... au nimekunwa nikatoa kilio cha mahaba nitahisi wamesikia wazazi.. mimi kibubu siwezi