Mada ya kufungia mwaka 2015

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,502
25,469
Wakuu kwema?

Hii mada naomba kila mtu aelezee chochote kile anachotaka kukieleza kabla hatujamaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya 2016 kama Mungu akipenda..

Karibuni sana Wakuu,

Zingatia maadili please!
 
Moto wa Magufuli uzidi makali mara 3 ya hapo ulipo........Tuko nyuma yake kwaSala na Maombi ..........!!!!
 
Amebana sana mwambie alegeze kidogo sisi wengine hatujajenga ndugu yangu atupe hata mwaka mmoja hili tupigepige kisha ndio abane tutatona roho ;);););););)
 
Huoni km ulichelewesha mwenyewe......huruma iwe kwako au kwa wengi wananchi wanaoteseka.......vuta subira kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake........!!
 
Hahahaaa!!
 
Back
Top Bottom