Mada: Ushauri na tiba ya tatizo la ugonjwa wa vidonda vya tumbo

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
522
1,000
Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ukitumia malimao yana sababisha vidonda vya tumbo hata hayo matunda mengine kama matamu

Wewe matunda yako mazuri ni parachichi achana kabisa na swala malimao machugwa na mavitu yenye acidi nyingi

Kunywa maji ya moto
Na maziwa ya mtindi tu yatalinda afya yako
Mboga zamajani basi .
Na sio otherwise

Vitu vya vitamin C vina acid sana sana

Kwa ulinzi wa Corona kinuwa maziwa ya mtindi tu Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forforty

Member
Nov 13, 2019
26
45
Habari wana Jamvi, naombeni msaada nini cha kufanya pale vidonda vya tumbo (ulcers) vinapo kuuma? Na ipi ni dawa ya kuvimaliza kabisa?
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,765
2,000
Habari wana Jamvi, naombeni msaada nini cha kufanya pale vidonda vya tumbo (ulcers) vinapo kuuma? Na ipi ni dawa ya kuvimaliza kabisa?
Ninayo dawa ambayo ninakutibu kwa wiki moja tu unapona kabisa ila bei iko juu kidogo

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,962
2,000
Habari wana Jamvi, naombeni msaada nini cha kufanya pale vidonda vya tumbo (ulcers) vinapo kuuma? Na ipi ni dawa ya kuvimaliza kabisa?
Mkuu zipo dawa nilitumia nikapona dozi ni miezi 3 so nilitumia miezi kama 9 ,ila tatizo nipo mbali saivi ningekutumia picha ukazifate hosp,cha kufanya ni PM afu mi nikirudi Home baada ya kama siku 9 nitakutumia picha ya box la dawa
utapona ila hitopona kabisaaaa,yani mimi nilichopona ni kwamba tumbo haliumi,sasa hivi nakula hata maharage mara chache maana ukizidisha tumbo linajaa gas lakini halitouma tena
 
goldcall

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
302
500
Habari wana Jamvi, naombeni msaada nini cha kufanya pale vidonda vya tumbo (ulcers) vinapo kuuma? Na ipi ni dawa ya kuvimaliza kabisa?
sikiliza mimi nimeumwa vidonda vya tumbo 4 yrs, lakini huwezi amini dawa yake ni ukwaju, kuna namna ya kuandaa, inaitaji maelekezo kidogo siwezi sema yote hapa ni process, nulipona kwa hivyo na maharage natafuna kama kawa!
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,534

Fafanua kidogo mkuu ukwaju huo unatumikaje?

Vidonda vyako vilisababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forforty

Member
Nov 13, 2019
26
45
sikiliza mimi nimeumwa vidonda vya tumbo 4 yrs, lakini huwezi amini dawa yake ni ukwaju, kuna namna ya kuandaa, inaitaji maelekezo kidogo siwezi sema yote hapa ni process, nulipona kwa hivyo na maharage natafuna kama kawa!
Ufafanuzi kidogo mkuu
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,117
2,000
Pole sana mkuu ni ulcers hizo. Nami zimenitesa miaka 6 nilikua nasikia hivyo shauri ya vidonda vya tumbo. Kama unaweza nipatie namba yako PM utapona kabisa 100% kuna mama anatibu kienyeji maeneo ya Goba. Kama upo Dar.

Vidonda vibaya sana. Nilikua short tempered, kujamba sasa, tumbo linawaka moto sio kawaida, maumivu ya shingo na mgongo, kusahau isivyo kawaida na wakati nilikua mwepesi wa kumbukumbu. Yaani trust me utapona kabisa. Mimi pia nilifanya endoscopy pale Regency, na nikatumia dawa za hospital bila kupona kabisa.
mkuu huyo mama nipatie namba yake pls
 
Top Bottom