Mada: Tujikumbushe wizara zote ziliwahi kushikwa na Mwakyembe

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Dr Harrison Mwakeyembe ni miongoni mwa makada wakongwe ambao wameitumikia serikali katika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika awamu mbalimbali za uongozi chini ya chama chenye makao yake Lumumba.

Katika mada hii ningependa tujadili juu ya utendaji wake katika kila nafasi aliyowahi kuongoza hadi sasa, ni kwa namna gani amefanya ameitendea haki taaluma yake na nafasi ambazo amekuwa akikabidhiwa?
 
Back
Top Bottom