MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Miaka mitano mmh amechelewa sana jaman kila la kher ktk kutatua tatizo hlo
 
ADHD? Naamini inatibika but sina uhakika Dr wa hayo mambo yuko wap Tz. Hebu google matibabu ya ADHD uone kama unaweza pata clue...
 
mpeleke kwa watumishi wa Mungu akafanyiwe delivarance atapona kuongea

Nimejaribu kwenda kwa watumishi lakini wameniambia mtoto mwenyewe hana tatizo. Ila kwenye kizazi changu nimewekewa bomu na wachawi ili kila uzao upate shida na wakaniombea hakuna kilichopatikana.na mdogo wake aliemfuata hana tatizo hilo kabisa.na kiufupi mimi ni mkristuninaeishi kikristu kabisa.

Mpaka sasa nimechanganyikiwa nimsaidiaje huyu mwanangu nae aongee kama watoto wenzie sipati jibu.ila kama utakuwa kuna watumishi wa mungu ambao unaamini ni watu wa mungu(maana wengi sasa ni matapeli) unaowafahamu naomba nisaidie kunielekeza kufika nikawaone nipo tayari.mimi nipo dar es salaam.asante.
 
Pole kwa matatizo yaliyokupata rafiki pole sana je unaweza kuja jpili kanisani
kinondoni revival church unashukia kituo cha kanisani au wanasema kituo cha biafra
kama umetokea upande wa magomeni usivuke barabara ni upande huohuo unawauliza
madereva taski wanakuonesha na kama umetokea upande wa mwenge unavuka barabara wuliza madereva kanisa liko wapi wanakuonesha karibu pole sana jpili ni saa 1 ibada inaanza karibu sana
 
Kiukweli hilo nitatizo na dawa yake ipo mm naishi dar nimepanga sasa mother toka bush alikuja kunitembelea nilipo panga kuna mtoto nae anashindwa kuongea vizuri na ni mkubwa but akiongea anaongea kama mtoto anayejifunza kuongea kwa kukosea KOSEA maneno mama yangu akamwangalia akanambia huyu mtoto anamatatizo na anatakiwa kupewa dawa.

Mimi nikashangaa naye akagundua kuwa mm kama nimemshangaa kwa aliyoongea akasema ndio umri huyu mtoto sio wakushindwa kuongea.

akadai kuna dawa zakienyeji anapewa ananyweshwa. kiukweli alinitajia mpaka ugonjwa wenyewe mpaka dawa yake kwakuwa sikuwa interested nikapotezea tuuu.
 
Kama upo dar esalaam mpeleke pale CCBRT wataalamu wapo mtoto ataangaliwa na tatizo litashughulikiwa
 
pole kwa matatizo yaliyokupata rafiki pole sana je unaweza kuja jpili kanisani
kinondoni revival church unashukia kituo cha kanisani au wanasema kituo cha biafra
kama umetokea upande wa magomeni usivuke barabara ni upande huohuo unawauliza
madereva taski wanakuonesha na kama umetokea upande wa mwenge unavuka barabara wuliza madereva kanisa liko wapi wanakuonesha karibu pole sana jpili ni saa 1 ibada inaanza karibu sana

asante sana mkuu.nitakuja.nitakuPM
 
kiukweli hilo nitatizo na dawa yake ipo mm naishi dar nimepanga sasa mother toka bush alikuja kunitembelea nilipo panga kuna mtoto nae anashindwa kuongea vizuri na nimkubwa but akiongea anaongea kama mtoto anayejifunza kuongea kwa kukosea KOSEA maneno mama yangu akamwangalia akanambia huyu mtoto anamatatizo na anatakiwa kupewa dawa.
mm nikashangaa naye akagundua kuwa mm kama nimemshangaa kwa aliyoongea akasema ndio umri huyu mtoto sio wakushindwa kuongea.
akadai kuna dawa zakienyeji anapewa ananyweshwa .
kiukweli alinitajia mpaka ugonjwa wenyewe mpaka dawa yake kwakuwa sikuwa interested nikapotezea tuuu.
nashukuru kwa mawazo nitakuPM.
 
Please wana JamiiForums, naomba msaada wa ushauri:

Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 3 na nusu. Haongei ila anapohitaji kitu anakushika mkono. Anasikia vizuri ila kuinterpret information hawezi. Akiitwa jina lake ha respond na hutamka baadhi ya maneno lakini hamaanishi anachokitamka.

Tumempeleka hospitali mbalimbali na kwa ma specialist kadhaa, wameconfirm hana shida katika brain wala masikio na pia ulimi wake upo vizuri. Pia wakati wa kuzaliwa hakupata tatizo lolote (alizaliwa Normal).

Kwenye Maombi, watumishi wa Mungu wanasema yupo Normal, shule ameshaanza lakini bado hakuna mafanikio. Kama mzazi inanichanganya sana.

Naombeni ushauri katika hili, ili mwanangu aweze kuongea kama kawaida.
 
Mtoto wa dada yangu alipata tatizo kama hilo. Mwanae alichelewa kuongea hivyo hivyo mpaka akiwa na miaka mitano alikuwa hawezi kuongea, mbaya zaidi alikuwa na hasira, yani akitaka kitu analia au anajibamiza ukutani au kukung'ata.

Tulihangaika kila mahali wakasema hana tatizo, lakini at the end ameanza kuongea tena sana. Tuliambiwa inaweza kuwa hapo alipo hana watoto wenzie yani anakaa sana na watu wazima hivyo inampelekea kuchelewa kuongea.
 
Jamani pole sana mzee wa busara ila usijali Mungu atatenda miugiza yake, yeye ni jibu la mambo yote. Ngoja wataalam waje.
 
Back
Top Bottom