Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,152
- 15,607
Nope...sijawahi mkuu!" je...? Uliwahi kuchepuka "
Nope...sijawahi mkuu!" je...? Uliwahi kuchepuka "
Asante sana kwa maelezo mazuri mkuu Ramark ila naomba nikuulize,huko kukatwa ulikatwa ukiwa na umri gani kaka!Mm binafsi nilichelewa kuzungumza nilipokuwa mdogo na neno langu lilikuwa baba,
Tatizo ni nyama au mishipa inayoshika ulimi kwa chini, ukitazama utaona ulimi haunyanyuki vizuri kama ukijaribu tena kutazama mwambie alete ulimi nje hautaona ncha nyembamba ya ulimi,
Hii inatokana na kwamba manesi hawakupitisha kidole sawa sawa wakati Wa kuzaliwa kwa mtoto au mazoezi hafifu uchangani ya kuinua ulimi.
Tiba
Kutafuta wataalamu hospital au kwa wanajamii wajuzi Wa mambo wamkate hata kidogo, Mimi binafsi nilipona baada kukatwa hicho kilimi na bibi yangu ambaye alikuwa na ufahmu Wa mambo ya kitamaduni katika matibabu, lkn baadae mama yangu aligundua kuwa hapakukatwa vizur kwan sizungumzi neno likasika kwa urahisi kwa MTU hata nikitoa ulimi nje hauonyeshi ncha ya ulimi.
Nb
Watoto wengi Wa kiume huchelewa kuongea hata mm ninaye wangu approaching to 2 hajanyoosha maneno.
Kabla ya hospitali kulikuwa na tiba.
Mmmh mchunge sana anakipaji cha kuongea uenda akawa mtume au Nabii....mi mwanangu ana mwaka na mwezi ila anaongea fresh tu....
Mkuu ulimkata akiwa na umri gani?Mpeleke haraka akakatwe udata na mimi yalinikuta hayo nikaenda Muhimbili wakasema hakuna tatizo nilimpeleka huko akakatwa na sasa anaongea vizuri
Sema ukweli usaidiwe shauri yako.Nope...sijawahi mkuu!
Mmhhhh.... Jina lako hatari sana MkuuMchanganye na watoto wa kiswahili tu mtaani ataweza.. we unamfungia kilasiku ndani hachangamani na watoto wenginewategemea ataongeaje!!
majina ya kibantu ni shida.. nilishindwa kulikataaMmhhhh.... Jina lako hatari sana Mkuu
Mchanganye na watoto wa kiswahili tu mtaani ataweza.. we unamfungia kilasiku ndani hachangamani na watoto wenginewategemea ataongeaje!!
Wakuu nimemuazisha shule so tayari anachangamana na watoto wenzake.mpeleke shule wiki mbili utaniambia atakuwa mmbeya
Mpe muda sasa ataongea vizuri tu.Wakuu nimemuazisha shule so tayari anachangamana na watoto wenzake.
Asante kiongozi.chanyanya asali na chumvi weka chini ya ulimi wa dogo
Asante sana kwa ushauri ndugu...Idadi hiyo ya maneno ni ndogo sana kwa mtoto wa miaka minne lakini hana huo "udata" unaoambiwa. Kwani wewe ukiongea sehemu ya chini ya ulimi inanyanyuka kwa kiasi gani? Kama ndo hivyo angeshindwa kuongea maneno machache sana labda yenye "L". Ile kwamba anaongea japo maneno machache ni ishara nzuri kuwa si kiziwi kabisa. Endelea kumpeleka kwa madaktari bingwa wa eneo hilo. Google pia utapata mawili matatu. Pia maadam nyumbani kuna watu wanaomsemesha au anaowasikia wakiongea hata kwenye TV na redio, huhitaji kumpelekapeleka kwenye nyumba za watu ili aongee; kuwa na subira.
Nidanganye yanini sasa mkuu hali yakuwa hapa hakuna hata mmoja anayenijua hata kama mtu akiisoma hii post!Sema ukweli usaidiwe shauri yako.
Nashkuru sana mkuu...inaumiza sana nafsi unapomuona mwanao anajaribu kukueleza kitu akiwa na furaha kisha wewe huelewi naye anategemea umjibu basi unabaki kujichekesha nayeye anabaki kukutizama usoni...ah ila ndiyo maisha tutafanyaje!Pole sana hilo ni janga la weng mi pia wangu ana miaka 3 na miez 5 sasa kuongea kwake ndo hvyo hvyo maneno machache kama mtt wa mwaka nilimpeleka na mimi hospital zote wanasema hana tatizo nikampeleka shule ameanza kuimprove kidogo ila bado na kwa speech therapist hudhuria...sema mkazanie tu na shule acheze na wenzie ataongea muda ukifikia ni ulimi mzito tu wtt wanatofautiana
We muuaji.kjaaJaribu ' Kumlambisha ' sana Pilipili kwa Siku 14 mfululizo mara mbili kwa Siku atawahi kuzungumza mwenyewe.
Pole sn mkuu,kwa tatizo hilo la mtoto wko.turudi katika hoja.
Kuto onge mtoto kuna sababishwa na mambo mengi mkuu.
(1)mbele ya ulimi inawezeka kuna vidoti vyeusi ambavyo vinasababisha ulimi kua mzito,na hushindwa kutamka maneno kwa ufathaha.
(2)chini ya ulimi kunakua na uzi ulio shikamana na ulimi karibia ufike mwisho.ukiwepo uzi huo mtoto anaongea kwa shida sana.
(3)NI maumbile tka kwa mola wetu,mjuzi.
UDATA..ni huo uzi uliopo chini ya ulimi,na tiba yake ni kuukata,nenda k/koo mtaaw Udoe,ulizia kabati.au muone doctar KOYA mtaa wa manyema
Huyu jamaa huwa anatafuta kutukanwa ili aanzishe ligi zisizokuwa na maana ila wengine tunachukulia ustaarabu tu tunamuacha kwani kurushiana maneno mabovu mitandaoni hatuwezi.We muuaji.kjaa