Justine Kakoko
Member
- Oct 5, 2018
- 33
- 58
Umeisoma makala yote? Mtoto anayechelewa kuongea huwa katika hatari ya kuwa nyuma katika kila kitu. Nimesaidia watoto wa namna hiyo, kama haujawahi kusaidia wala kuwa na mtoto wa namna hiyo unaweza usione uzito wa tatizo. Usipende kurukia hitimisho rahisi kwenye matatizo sensitive kama haya kwani kuna wazazi hawalali kisa matatizo kama haya.Kama anachelewa ila mwisho wa siku anaongea, sioni tatizo kivile.