Mada: Muswada wa sheria ya katiba

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Naona wako hapa Mh. Tundu Lissu, Mh. Kombani na ndugu mwingine. mwendesha mada ni Angelo Mwoleka. Anaongea sasa waziri wa sheria
 
Spika alikataa kamati kuzunguka kanda 8 tz bara pamoja na zanzibar-Lissu
 
Spika alifuta makubaliano ya kamati kuzunguka kanda kumi kwa mara nyingine pamoja na visiwani. akalazimisha muswada ulioandaliwa kinyemela upelekwe bungeni
 
kamati ikishaundwa inakaa miaka 2 na nusu. Spika aliongeza wajumbe watano toka ccm, cuf na nccr kinyume na taratibu za kuunda kamati
 
Back
Top Bottom