Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

Nasikia Lissu anajiuma uma tu kwenye hicho kipindi...Sifatilii kipindi...Naomba mtupe updates.
Kama hufuatilii maanayake hutaki kusikia asemacho,na kama anajiumauma hana asemalo, wewe unaka updates za nini
 
Kwa hiyo Lissu aendelee na viuongo vyake?
Anza kwanza wewe kujisafisha na kuwacha kuleta hayo mautumbo yako hapa jukwaani,lisu ni level ya karne ijayo hata makinda analijua hilo
 
Tundu lisau anazidi kupoteza credibility, swali la lowassa na muhongo kalijibu kisiasa kabisa, kasahau kabisa kuwa pale mwembeyanga walikuwa wakimuita lowassa fisadi na ripoti ya mwakyembe ilikuwa imeshatoka! Leo anasema lowassa alibeba mzigo wa walio chini yake, ila hakuwa na hatia!
SITOMWAMINI KAMWE!
Tangia lini ulimuamini Tundu Lisu?
 
Mbona hiyo hoja ya kijinga na kitoto? Mudw ule wote Lowassa alisimama wapi na kusema ukweli wa sakata lile?
Sasa kaja Chadema na kuhojiwa na KK na Maelezo yake yamewafanya waujue ukweli wa muhusika na wamemuamini.
Sasa mlitaka waendelee kumwita fisadi wakati ukweli wa nani ndio fisadi wameujua?
Wakushangaza na waongo wakubwa na wanafiki in ccm, kwa miaka yote walisema ile ni ajali ya kisiasa tuu na wakawa wanampa vyeo vya heshima. Iweje kuhama chama tuu basi ndio kawa fisadi kwao?

Mtu kabanwa na bunge likamwona ana hatia!! Halafu CHADEMA eti mnajitia mlimwita uchochoroni kumhoji aseme eti ni mwizi au sio mwizi akasema sio mwizi mkamwamini!!!! Makubwa!!! Bunge na nyie CHADEMA nani zaidi? Bunge lilihusisha vyama vyote.Ninyi mkajificha naye uchochoroni eti tukamhoji akasema tukaamini!!!!!!!!!!!??????????
 
Tatizo LA wa jf wanaodhani Magufuli ni Mtakatifu kuliko Lowassa wa wanaandika mambo ambayo hata

kwenye kipindi hayajaongelewa, ili kupotosha walio mbali Na tv
 
Anza kwanza wewe kujisafisha na kuwacha kuleta hayo mautumbo yako hapa jukwaani,lisu ni level ya karne ijayo hata makinda analijua hilo
Lissu kiwango cha karne ijayo...ha ha ha
Hiyo ni karne ya waongo na wafuasi wao kina Mmawia.
Afu nanyie mlijiona kabisa mna uwezo wa kuongoza nchi.

Afu kila ukiambiwa Lissu mwongo unajibu jisafishe kwanza wewe...ndo maana nikakwambia wewe na Lissu ni viwango duni.

Sasa huyo Lissu wako hata akianza kuhoji na kutaka kuvua watu vyeo bungeni kama unavyosema, naye ataambiwa Lissu kaa kimya acha uongo kwanza, na hata sasa hatuwezi kuamini kwa sababu umeshakiri mwenyewe kuwa wewe ni mwongo wa kutupa ha ha ha.
 
Huo utetezi angeutoa mzee wa elimu ya hapa na pale ningeelewa...Ila Lissu kajidhalilisha sana. Nafikiri ndio sababu hata ya Chadema kumtupa nje kwenye usimamizi wa kesi zake...Mfano ile ya kugombea maiti.
chadema ina mawakili wengi,kwani kila kesi lazima asimame lisu?na huo ndiyo ujinga wa CCM,hata kukiwa na jambo ambalo yeyote au mwenye dhamana anaweza kulifanya basi atasubiriwa RAIS afanye,tutaendeleaje
 
Hiyo ndiyo serikali yetu wadanganyika chini ya ccm
 
Tatizo LA wa jf wanaodhani Magufuli ni Mtakatifu kuliko Lowassa wa wanaandika mambo ambayo hata

kwenye kipindi hayajaongelewa, ili kupotosha walio mbali Na tv
Utakatifu huo wanao uona kwa magufuli ni uzandiki tu
 
Mfia lumumba wakati wenzako wananufaika na wizi wa rasilimali za taifa wewe unakesha mitandaoni kukashifu viongozi wa upinzani
Tushawajua na kuwashtukia siku nyingi.
Leo Mmawia unakuja hapa na kutukuza wezi wa raslimali za taifa.
Njaa mbaya, ndo mabosi wako sasa kashike dodoki.
Unatukuza wezi wa raslimali za taifa!!!
Shame on you.
 
Naona umewachoka mabosi wako,wezi wa rasilimali za taifa ni wale waliojazana lumumba
 
Tushawajua na kuwashtukia siku nyingi.
Leo Mmawia unakuja hapa na kutukuza wezi wa raslimali za taifa.
Njaa mbaya, ndo mabosi wako sasa kashike dodoki.
Unatukuza wezi wa raslimali za taifa!!!
Shame on you.
Kama ulitumwa kuingia jf kuwatetea majizi ya rasilimali za taifa na majizi ya escrow umenoa hapa hatetewi mwizi
 
Lissu kiwango cha karne ijayo...ha ha ha
Hiyo ni karne ya waongo na wafuasi wao kina Mmawia.
Afu nanyie mlijiona kabisa mna uwezo wa kuongoza nchi.

Afu kila ukiambiwa Lissu mwongo unajibu jisafishe kwanza wewe...ndo maana nikakwambia wewe na Lissu ni viwango duni.

Sasa huyo Lissu wako hata akianza kuhoji na kutaka kuvua watu vyeo bungeni kama unavyosema, naye ataambiwa Lissu kaa kimya acha uongo kwanza, na hata sasa hatuwezi kuamini kwa sababu umeshakiri mwenyewe kuwa wewe ni mwongo wa kutupa ha ha ha.
Tatizo la watu wa ccm ni kutaka kuwafanya marafiki zao kuwa Marafiki zetu na Maadui zetu kuwa Maadui zao.
Hamuwezi kumchagulia mtu Rafiki au kumuwekea mtu akili zako.
Ikiwa wewe umewekewa akili basi kaa nazo hizo ila usihamishe ufahamu wako kwenda kwa mtu mwingine.
Miaka mingi vijana kwa wazee mtabaki katika dimbwi la umasikini kwa sababu akili zenu zimeshikwa na wachache.
Badilika kijana.
 
Mtu kabanwa na bunge likamwona ana hatia!! Halafu CHADEMA eti mnajitia mlimwita uchochoroni kumhoji aseme eti ni mwizi au sio mwizi akasema sio mwizi mkamwamini!!!! Makubwa!!! Bunge na nyie CHADEMA nani zaidi? Bunge lilihusisha vyama vyote.Ninyi mkajificha naye uchochoroni eti tukamhoji akasema tukaamini!!!!!!!!!!!??????????
Nyaraka zipo afikishwe Mahakamani kama haya ni kweli
mbona hata kwenye tume ya maadili ilikuwa kizungumkuti.
Kila siku Lowasa Fisadi laki ukisema apelekwe mahakamani bado wanatafuta nyaraka
 
Waambie Mbowe na Lissu waziachie akili zako afu uje upya.
Na kila anayewakosoa miungu watu wenu ni ama ccm, act au msaliti.
Mtabaki hivo hivo na ushabiki maandazi wenu.
Unatafuta umaarufu kupitia jina la mtu
 
Mtu kabanwa na bunge likamwona ana hatia!! Halafu CHADEMA eti mnajitia mlimwita uchochoroni kumhoji aseme eti ni mwizi au sio mwizi akasema sio mwizi mkamwamini!!!! Makubwa!!! Bunge na nyie CHADEMA nani zaidi? Bunge lilihusisha vyama vyote.Ninyi mkajificha naye uchochoroni eti tukamhoji akasema tukaamini!!!!!!!!!!!??????????
Kumbe huwa mnapiga kelele hovyo bila hata kuelewa? Kanati ya Mwakyembe ilihitimisha kwa kusema nini? Hilo hujui. Na ndio maana hujui hata kwa nini Raid alisema hadharani kuwa in AJALI YA KISIASA na watu hamkuelewa.
Miaka minane baadae nyie ndio mnajua zaidi kuhusu Lowasa kuliko alivyokuwa anajua JK? Huo sasa utakuwa wehu
 
Tangu magufuli ameanza kutumbua majipu kuna mahali ametajwa lowassa? Mmeng'ang'ana tu lowassa fisadi. Ongeleeni kwanza makontena zaidi ya elfu kumi na moja
 
Nyaraka zipo afikishwe Mahakamani kama haya ni kweli
mbona hata kwenye tume ya maadili ilikuwa kizungumkuti.
Kila siku Lowasa Fisadi laki ukisema apelekwe mahakamani bado wanatafuta nyaraka
Aliyemweka Lowassa kwenye orodha ya mafisadi ni Tundu Lissu;
Kisha Mnyika naye akaenda kifua mbele kusema ana nyaraka na ushahidi wote unaothibitisha ufisadi wa kutisha wa Lowassa;
Kiboko ya wote ni Lema anayesema ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa.
Mchungaji Msigwa..mtumishi wa Mungu akasema na anayemshabikia Lowassa kwenda Ikulu apimwe akili...kilichotokea baada ya hapo hakisemeki!

Shida shida shida....afu wote hawa wakatangaza kuwa Lowassa ni msafi, na dhambi zote alizokuwa nazo wamemsamehe wakampa kibali cha kwenda Ikulu.
Kati ya ccm na hao niliowataja (plus nyie mashabiki wao) sijui ni nani mwenye matatizo ya akili.
 
Fidadi n lowasa na mzee wa msoga ...nani apeleke mahakama
ccm wana jk..
Cdm wana mviii...
Na watu mpo kiushabiki hamtak kuona ukweli,kuna tofaut gan kat muhongo na lowasa....?? Wote ealijihudhuru kulinda serikali ila kwasababu flan hayupo upande wako unamwona mchafu.....
Tujifunze kupambambanua mambo kwa maslai ya taifa letu na sio ushabiki......wana siasa n wanafiki tuuu....swala la richmond UKweli anajua mkwere na lowasa na ndio weziii haoo....
 
Back
Top Bottom