Mbona watu Jana walimwita Paulo muovu Kesho yake wakamwita mtakatifu? usikakariri maisha sio static.Leo unamuita mtu fisadi halafu kesho asubuhi unaenda ofisini kwake ukiwa na makabrasha yako, kwa ajili ya kupeleka taarifa kwa bosi wako (ambaye ulimuita fisadi jana!). Chochote atakachokwambia mwanasiasa kitilie shaka, hata jina lake pia.
Labda kama kulikuwa na report mbili aliyosoma bungen ni tofauti na unayoiongelea wewe.Ki ukweli tu bila kufikicha macho Lowassa alihusika moja kwa moja kwenye issue ya Richmond kwenue ile report ya Mwakyembe ndivyo ilivyo ata vile viambatanisho zikiwepo na barua kutoka ofisi ya waziri mkuu kushinikiza mkataba usainiwe
Labda kama kulikuwa na report mbili aliyosoma bungen ni tofauti na unayoiongelea wewe.Ki ukweli tu bila kufikicha macho Lowassa alihusika moja kwa moja kwenye issue ya Richmond kwenue ile report ya Mwakyembe ndivyo ilivyo ata vile viambatanisho zikiwepo na barua kutoka ofisi ya waziri mkuu kushinikiza mkataba usainiwe
Hivi hiyi report ulishawah kuisoma?Labda kama kulikuwa na report mbili aliyosoma bungen ni tofauti na unayoiongelea wewe.
Paulo alikuwa mwovu na utakatifu wake ulikuja baada ya kutakaswa kwanza. Pamoja na kutakaswa Paulo hakuwahi kukana uovu wake kwa Kanisa bali uovu umebaki kama kielelezo cha jinsi Mungu anavyoweza kusafisha dhambi zetu japo ni nyekundu kuliko damu. Usifananishe hili tukio na siasa zenu uchwara kutetea wanasiasa vigeugeu ....Mbona watu Jana walimwita Paulo muovu Kesho yake wakamwita mtakatifu? usikakariri maisha sio static.
Sasa wewe unaonyesha jinsi ulivyo mpuuzi pamoja na kuja na tambo kuwa una weledi.Aliyemweka Lowassa kwenye orodha ya mafisadi ni Tundu Lissu;
Kisha Mnyika naye akaenda kifua mbele kusema ana nyaraka na ushahidi wote unaothibitisha ufisadi wa kutisha wa Lowassa;
Kiboko ya wote ni Lema anayesema ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa.
Mchungaji Msigwa..mtumishi wa Mungu akasema na anayemshabikia Lowassa kwenda Ikulu apimwe akili...kilichotokea baada ya hapo hakisemeki!
Shida shida shida....afu wote hawa wakatangaza kuwa Lowassa ni msafi, na dhambi zote alizokuwa nazo wamemsamehe wakampa kibali cha kwenda Ikulu.
Kati ya ccm na hao niliowataja (plus nyie mashabiki wao) sijui ni nani mwenye matatizo ya akili.
Usimfananisha Paulo na siasa zetu chafu zilizojaa kifisadi. Ukumbuke kuwa muonekano mzima wa wanasiasa aina ya Tundu Lissu ndio unaopaka matope dhana nzima ya upinzanii. Ikiwa walichokifanya wanasiasa waliomuita Lowassa fisadi na baadae kulazimisha kumsafisha, ni kitu chenye mantiki kwanini Dr. Slaa aliamua kuachana na chama alichotumia nguvu nyingi katika kukitangaza kila sehemu ya Tanzania?. Ina maana Dr. Slaa hafahamu maana na falsafa ya maisha ya Mtume Paulo?Mbona watu Jana walimwita Paulo muovu Kesho yake wakamwita mtakatifu? usikakariri maisha sio static.