Hujaeleweka bado......ndo shida ya akili za chekecheahuyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
Kumchukia Lisu unahitaji kuwa Wakala wa shetani mwenye kiwango cha juu Sana...
Jamaa anajenga hoja kwa ufahamu mkubwa
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
huyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
Tupe ukweli wenye uthibitisho. Propaganda karne hii zimepitwa na wakatihuyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
matapeli ni wewe na miccm yenu, anawapa ukweli mkaona mumuue bahati nzuri kwake mmeshindwa na mtaendelea kushindwahuyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
TLS inawauma sana lisu kupata, miaka yote walichukua ccm leo kwenda upinzani inawachoma kama pasi, waache waweweseke tu ngoja arudi utasikia maneno yake, sasa hivi mtu wenu anaongea kwa upole kama anaumwaMona uchaguzi wa TLS umekuja baada ya serikali ya awamu ya tano mkuu...
Lakin pia kuhusu 12B, ukiambiwa ulete ushahidi unao mkuu, au utajaza maneno yako?