Mada maugo v/s fransis cheka

Mada maugo v/s fransis cheka

Maugo na cheka ndo wapo jukwaani wakijiandaa kwa mapambano
Update
Wimbo wa taifa unapigwa watu wote wanatakiwa kusimama wengine hawataki wanapiga kelele upigwe wa mafisadi ndo wasimame maana hapa hakuna Taifa tena then round one ndo inaanza sasa keep on read
 
Utakuja kumsaliti babako kisa yupo bongo wewe!!!tuache wanaume wazee wa mawe tupeane update wewe tafuta gagulo na sidiria ya kuvaa kesho kanisani!

umekunywa maji ya chooni???? napata harufu namna mdomo wako unavyotoa uvundo!!!!
 
Maugo na cheka ndo wapo jukwaani wakijiandaa kwa mapambano
Update
Wimbo wa taifa unapigwa watu wote wanatakiwa kusimama wengine hawataki wanapiga kelele upigwe wa mafisadi ndo wasimame maana hapa hakuna Taifa tena then round one ndo inaanza sasa keep on read

pamoja mkuu usishangilie we tujuze tu
 
Round one over cheka kakimbizwa maugo kaanza na kasi sana
 
endelea kutupatia update mkuu! tuko pamoja
 
Round ya 4 maugo apelekwa puta almanusura kudondoka
 
Round no. 3 cheka kadondnka mara 2

duuh! inawezekana yale madai ya Maugo kuwa Cheka anatumia bangi yana ukweli? maana safari hii walisema watapima kama kuna bondia anatumia madawa ya kuongeza nguvu pamoja na bangi
 
Round ya 5 cheka anaendelea kupeta na masahihisho cheka ktk ile round ya 2 cheka alidondoka mara 1 na ya 2 aliteleza
 
Maugo kashindwa kuendelea round ya 7 baada ya kupigwa makonde mazipo na mshini ni fransis chekaa
 
Back
Top Bottom