Moyess
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 953
- 1,191
Mkuu nlikuchek pm naona kimyaHa ha ha
Ndio kunakucha View attachment 1019195View attachment 1019197
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nlikuchek pm naona kimyaHa ha ha
Ndio kunakucha View attachment 1019195View attachment 1019197
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji kakojoa nini???wanaume wanao kojoa kitandani baada ya kulewa mnakera sna jman mnaharibu magodoro na chumba kinakuwa na harufu mbaya kweli
wanaume wanao kojoa kitandani baada ya kulewa mnakera sna jman mnaharibu magodoro na chumba kinakuwa na harufu mbaya kweli
Huu mkono unatosha kukulewesha ukipiga bia 2View attachment 1019424 Today’s afternoon
Pole kwa kukojolewawanaume wanao kojoa kitandani baada ya kulewa mnakera sna jman mnaharibu magodoro na chumba kinakuwa na harufu mbaya kweli
alf kutoa godoro huwaga wabishii kweli hahaha sio mim mkuu na hizi mvua sasa mkichelewa kutoa godoro hakuna kulala
Kuna wadada warembo nao wanaachia kojowanaume wanao kojoa kitandani baada ya kulewa mnakera sna jman mnaharibu magodoro na chumba kinakuwa na harufu mbaya kweli
Huyo ndo wewe au umeamua kuwaphotoa wenzako?Ha ha ha
Ndio kunakucha View attachment 1019195View attachment 1019197
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi furaha yangu ni man u kusogea kwenye namba 4, hapo tunamsubiria totenham ajitekenye au atekenywe kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nendeni kwenye mada ya kubet, hapa ni monde tu
Beibe hujambo?hii shoga kali..khaa!
Nipo nyuma ya K vantHuyo ndo wewe au umeamua kuwaphotoa wenzako?
sijambo babe...Beibe hujambo?