Mada maalumu kuhusu makabila...

Sammy1961

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
298
303
Wanajamvi hali ni gani hapa ndani.

Sio kwa ubaya ni kutaka kufahamu.

Nilikutana na swala moja linahusu makabila ya kanda ya kati.

Wengi hupenda kuita makabila ya njia ya vumbi.

Lakini kwa majina halisi ni makabila ya Wanyaturu, Warangi, Wanyiremba na

Wengi husema kule maisha kidogo ni ya chini.

Wengine wanaenda mbali sana na kusema hawataki hata watoto wao waozeshwe kwenye hayo makabila.

Je ni yapi unafahamu kuhusu haya makabila?

Tiririka...

Tuambie na tabia za makabila mengine unayoyafahamu tupate experience .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom