Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG-20210820-WA0000.jpg
 
Hatare Kweli na zinauzwa bei cheeeee Ina wanaonunua na kuuza wanaamua kutuua kwa bei ya mauaji na ni sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani k vant ukinywa ladha na harufu zinabadilika kila siku pia kiwango cha alcohol hakifanani. Feki zimejaa madukani watu wanapiga hela za kisenge wananchi tunaumia na serikali ipo na mwenye kampuni hatujui anachukua hatua gani
 
IMG-20210820-WA0001.jpg
 
Unajuaje kama ni feki? Ufeki wake ni nn hasa? Test or what ?....Kvat ni spirit ambayo hutengenezwa Kwa njia ya distillation process ( kutengenisha baina ya maji na mvuke) ya nafaka na Kwa vile haina mature baada ya kutengenezwa haiwezi kuwa na same test and smile all the time

Utafauti unatokea Kwa sababu nafaka iliyotengenezewa Jana na Leo haziwezi kuwa ziko Sawa kila kitu
 
Mimi nimekunywa Konyagi over 20 years ...kuna balanced taste ya OG tangu unaifungua..naifahamu.. Japo sometimes nimepigwa pia
Kingine ni ulevi wake! Kila mtu ana kiwango chake cha ulevi ila ukipiga feki stimu hazichelewi
Kingine ni hangover ya kufa mtu the next day
Kingine ni kuumwa mwili, na viungo
 
Back
Top Bottom