Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Karibuni
20190726_183534.jpeg
 
Marafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar

Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar

Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar

Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe

Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki

Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja

Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum

Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa huyu ndio rafiki wa kweli kwako

USHAURI

Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako

#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
 
Back
Top Bottom