Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Bumija
1547904792859.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho nakupitia hapo twende church

Sent using Jamii Forums mobile app
Doh mtatuona tu mkiwa mnarudi
Nakumbuka kuna farther mmja alikuwa analiongoza kanisa la katoliki kwa pinda
Anaitwa fr gasper huyo alijaribu sana kutuvuta kanisani
Maana kila jumapili saa 12 asubuhi alikuwa anatuona tunapiga vyombo
Alikuja kunyoosha mikono juu katuambia anasubiria miujiza tu sasa maana kashaongea sana mpk kachoka

Ova

Back
Top Bottom