Beba ukanywe ndani mkuuWadau karibuni sana. Tunapambana na hali zetu nipo zangu mkoani huku maeneo ya kusini mwa Tanzania naitazama bahari huku nikipata hiki kinywaji. Tatizo bar za huku mapema tu wameshafunga.View attachment 969176
Hako kabaridi ka bahari kanakupa hamu ya kupata sana nyagi hongeraWadau karibuni sana. Tunapambana na hali zetu nipo zangu mkoani huku maeneo ya kusini mwa Tanzania naitazama bahari huku nikipata hiki kinywaji. Tatizo bar za huku mapema tu wameshafunga.View attachment 969176
Aamen walevi wote watafika mwakani wakiwa bukheri wa siha....Hahahaah eti Sangomanimecheka sana
Nipo aise kila nilikuwa nikikumbuka mada yetu pendwa najisikia kuwamiss nipo hapa sasa hadi mwaka ukipinduka Mungu atujalie hayo.
Kweli kabisa haiwezekani atutese namna hiiina bidi atoe maelezo ya kutosha
Socco socco... #Gasping View attachment 969153
At the moment utakua poa sasaam fit..ninazimua hapa..mentally fit
Hahahahhaahaam fit..ninazimua hapa..mentally fit
Nashkuru kwa kurudiHahahaah eti Sangomanimecheka sana
Nipo aise kila nilikuwa nikikumbuka mada yetu pendwa najisikia kuwamiss nipo hapa sasa hadi mwaka ukipinduka Mungu atujalie hayo.
Sa hapo kukata moto ni nje njeYa ndani haishuki kivile
Nipo hapa jana na leoHata mimi namtafuta
Dah ni noma sana na enjoy tu view ya bahariHako kabaridi ka bahari kanakupa hamu ya kupata sana nyagi hongera
Umeadimika sana inabidi utoe maelezo ya kina jirani kua ulikua wapiNipo hapa jana na leo
Amina.Aamen walevi wote watafika mwakani wakiwa bukheri wa siha....
Mkuu upo maeneo haya usiniongopee nishakusoma...Maeneo yangu ya kujidai hapo nikitoka job, msalimie dada kaunta hapo huyo mwembamba siyo kibonge
Mimi nipo maeneo flani Katibu ameniona meza nimezungukwa nao hao hao , wazuri kweli kweliKadri unavyoendelea kuzinywa ndivyo wale 'Dada zetu' wanavyoendelea kuonekana warembo...!mwisho wake huwa mubaya sana..unaishia kula nyama mbichi