Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,238
2,000
Bila shaka hapa crt chalinze ndio mkosaji.
IMG-20210404-WA0057.jpg
 
kuuuu

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
534
500
Mwaka 2010 niliwahi kuwa boda boda "pikpik" kwa mkataba wa mr mmoja hiv mkubwa serkalin upande wa policy!,,, siku moja nikakamatwa beria kwa makosa ya
kutokuwa na lesen,bima na motor vehicle, baada ya kukamatwa nilimjulisha tajil tajil akampa agzo mkuu wa kituo wa eneo husika nililokamatwa ocs,,ocs nae kampigia alie nikamata kampa agzo aniachie mara moja wakat huo nami nasikia akimpa agzo, kuna boda boda hapo namb flani ndio,naomba uiachie mara moja tusike leta balaa aise dk tano muachie hyo mtu fast!, asikal alonikamata kakataa anamjib boss wake afande mie siwez muachia maana kavunja sheria na taratb ko hapana duu!,,nilikaa ka dk 10 hiv boss wang kapiga simu vip wamekuachia?.. hapana mpk saiv boss kapiga tena kwa ocs!,, kama dk 5 hiv ocs kafika beria na usafili wake wa gx100 akawaita maafande wote wakapanga mstali misr ya gwaride ,, akaanza kumuhoji jamaa alie nikamata,,,
ocs,, nimekupa agzo la kuiachia hii pikpik mbona mpk sasa hujaiachia umefanya mpk nimeacha kaz zingne kukufuata ww kwa nn?
afande,,amevunja sheria afande hivyo nilitaka alipe fain afande,,,
ocs,, mi na ww nani kiongoz anaetowa maagzo?...
afande,,, ni ww afande!.
ocs,, nan inchaj wako?..
afande,, ni ww afande!..
ocs,, kwa hyo tuna bishana mi na ww sio una taka tuoneshane ubabe?..
afande,, hapana afande, nisamehe afande nimekosea,,
ocs,, goja nikuonyeshe kidogo ili ujuwe kuwa mm na ww nan mkubwa,,
afande wote,, walikuwa 7 wakapiga salut wakasema msamehe afande hataludia kukiuka maagazo yako afande,,
ocs,, usifikilia kushindana na mm ninapotoa maagzo kwan unajua hiyo pikipik ni ya nan,!?.. anafoka ocs hapo
afande wote,,, salut msamehe afande!..

Wakat huo mie nipo pemben naona kila kitu na kusikia hahahaha ocs akasepa,, jamaa akanilushia funguo kwa hasira na kunifukuza nisonekane pale hahahaha,, kwakuwa ilikuwa njia yang ya nenda lud nilikuwa nalud mara nying nying ko wakiniona tu nakuja!! wana sema yulee muzush mfunguli gat apite,, hahaha mwisho wa siku nikawa rafiki zao sana!,, sikusumbuliwa tena hahahahaha,,enz za jk hizo daa!..
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,354
2,000
Hakuna kero kubwa ya barabarani kwa waendesha magari kama:

1. Wazee wa favor, kusimamisha simamisha tu magari

2. Waendesha bodaboda na bajaj

3. Matumizi ya barabara kuendesha biashara pembezoni na kugeuza parking za waendesha bodaboda na bajaj
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,238
2,000
3. Matumizi ya barabara kuendesha biashara pembezoni na kugeuza parking za waendesha bodaboda na bajaj
Hili linaweza kukomeshwa sasa...PENGINE...!!!
 
b4theg

JF-Expert Member
May 31, 2011
215
1,000
Kuna watu wana bahati zao. Mm hiyo IT nimetafuta channel mpaka nimekata taamaa. Bila agent au dereva anaekujua ni ngumu kupata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom