House girl naye ni binadamu inabidi uishi naye kama ndugu au sehemu ya familia.
Sio kazi zote unamuachia afanye yeye, kipato unachomlipa kidogo.
Ukiangalia umempa dhamana ya kukaa na mtoto na nyumba yenye vitu vya thamani.
Ukiishi nae vizuri na kumjali kama ndugu utadumu naye ila ukimpeleka lazima mwanao afanyiwe unyama na vituko ndani ya nyumba havitoisha.