Mkuu hakuna mzanzibar anayetupenda hata mmoja hilo sahauWenye mapenzi mema na Tanganyika tunawakaribisha
😁😁😁😁Wazanzibar wasichangie hawana maana yoyote kwetu
Unaweza ukalilipa kidogo kidogo bila kujua mkuu, utapandishiwa Kodi na ushuru kwenye bidhaa unazonunua au kupanda bidhaa zenyeweNaumia sana kwakuwa litalipwa na wana wetu
Hatari sanaHalitaisha Leo na mambo yasipobadilika watakopa tena na tena😡😡😡
Check out this video from this search, mtikila na tanganyika https://g.co/kgs/mUK2qYMRIP Mchungaji Christopher Mtikila
Lile kafara la kukimbiza moto na yale matambiko ya Bagamoyo, Lindi na ziwa TanganyikaTatizo linaanzia kwenye TAMBIKO KUU, hapa panatakiwa mahesabu makali sana, wazee warudi round table waone, ili sasa Mtanganyika aweze kuzinduka kutoka huko alikozikwa, aamke, ajitambue, ajue thamani ya alivyonavyo na kumiliki, ni hakika atavilinda kwa wivu mkubwa na tutasonga mbele kwa kasi inayoridhisha. Watu wa ule mkoa uliopo baharini watazamwe kwa jicho makini kabla mambo hayajaharibika zaidi.