Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

Acha ukuda ww, biology and chemistry are compulsory but physics is required for clinical medicine course,phamarcy e.t.c NACTE na WIZARA YA AFYA wao ndiyo watajua wenyewe cha kufanya kutokana na mfumo uliotumika mwaka jana,usipende kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo japo NACTE wamesema

Mbona una hasira sn kaka/dada. Tumia lugha ya stara basi nikuone mstaarabu. Nina uhakika na nilichokisema. Narudia tena, nina uhakika na nilichokisena. Km unafahamu tofauti ndo nimekueleza we unanitukana. Cjazoea matusi hivyo bas, umenikwaza sn!
 
Kwahiyo we unataka nn sasa,acha kuropoka ropoka ww
 
alafu naomba unitajie vyuo vizuri vya private mkuu.maana government ushindani mwingi maana mwaka jana nilikosa government!

na mimi nasubiri hiyo orodha
 
Nilicho penda hata kama una four ya 35 wanaruhusu uapply ktk ministry of health
 
hivi vyuo vya serikali kwa ngazi ya certificate katika afya ada inaendaje?
 
hivi ngazi ya certificate katika afya kwa vyuo vya serikali ada inaenda sh ngapi? Kwa mwaka
 
Samahani wadau kwa kuchelewa kuandika list hii ya vyuo!
1. Training centre health records technology: Moshi
2.Tosamaganga school of nursing iringa
3. Tarime school of nursing
4. Health training centre Ifakara
5. Tanga school of nursing
6. Tandabui institute of health sciences Mwanza
7. Suve health institute ARUSHA
8. Sumaye school of nursing KWIMBA
9. St. Magdalena school of nursing KAGERA
10. St. Gaspar nursing school SINGIDA
11. St. Aggrey college of health sciences
12. Singida health science laboratory assistants training centre SINGIDA
13. Sharati school of nursing RORYA
14.Sengerema schoo of nursing
15. School of physiotherapy MOSHI
16. School of optometry
17. School of dental therapist MBEYA
18. School of dental therapist BULONGWA
19. Bulongwa school of nursing BULONGWA
20. Same school of nursing SAME
21. Rubya school of nursing MULEBA
22. KAM college
23. Mount mkombozi
24. Shaabani robert
25. Albert kayuki
26. IMTU
27. Royal pharmacy training institute DAR
28. RAO Health centre
29. Primary health care
 
Samahani wadau kwa kuchelewa kuandika list hii ya vyuo!

  • 1. Training centre health records technology: Moshi
  • 2.Tosamaganga school of nursing iringa
  • 3. Tarime school of nursing
  • 4. Health training centre Ifakara
  • 5. Tanga school of nursing
  • 6. Tandabui institute of health sciences Mwanza
  • 7. Suve health institute ARUSHA
  • 8. Sumaye school of nursing KWIMBA
  • 9. St. Magdalena school of nursing KAGERA
  • 10. St. Gaspar nursing school SINGIDA
  • 11. St. Aggrey college of health sciences
  • 12. Singida health science laboratory assistants training centre SINGIDA
  • 13. Sharati school of nursing RORYA
  • 14.Sengerema schoo of nursing
  • 15. School of physiotherapy MOSHI
  • 16. School of optometry
  • 17. School of dental therapist MBEYA
  • 18. School of dental therapist BULONGWA
  • 19. Bulongwa school of nursing BULONGWA
  • 20. Same school of nursing SAME
  • 21. Rubya school of nursing MULEBA
  • 22. KAM college
  • 23. Mount mkombozi
  • 24. Shaabani robert
  • 25. Albert kayuki
  • 26. IMTU
  • 27. Royal pharmacy training institute DAR
  • 28. RAO Health centre
  • 29. Primary health care

Umefanya vizuri mkuu !

Ila ni vyema ukaweka pale juu kwenye thread yenyewe !

Ila hivi haitaonekana vyema kadri post zinavyozidi !
 
Umefanya vizuri mkuu !

Ila ni vyema ukaweka pale juu kwenye thread yenyewe !

Ila hivi haitaonekana vyema kadri post zinavyozidi !

Sawa mkuu nimekupata kwa uzuri kabisa!
 
Wakuu mimi nina TWO ya point020 Phy-C,CHEM-B,BIO-B,MATH-C,hayo mengne kuna mchngnyko wa C na D,nilimaliza four 2011,nilisomaga adv 6months only nikashndwa kuendele kutokana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikinikabili kwa kipind hcho,hvyo ningependa mnishaur ni cozi gan inaweza kuwa nzur kwangu coz sina uelewa mzur juu ya cozi za afya.
 
Jaman Naomba Kuuliza Je Kama Una D Ya Chemia, B Ya Biology, D Ya Maths, Na B Ya Englsh
Je Naweza Kusomea Labaratory Tech
Na Phy Sikuchukua? Naomba Msaada Wenu Tafadhali
 
Jaman Naomba Kuuliza Je Kama Una D Ya Chemia, B Ya Biology, D Ya Maths, Na B Ya Englsh
Je Naweza Kusomea Labaratory Tech
Na Phy Sikuchukua? Naomba Msaada Wenu Tafadhali

Sina uhakika sana ! Ila nadhani inahitaji physics !

My take
 
Jamaaa we ingia website za wizara ya afya ucjal me nna 4 ya 26 phz d chem c bio c math f &engl d nmetka 2012 Nmeaply
 
Acha ukuda ww, biology and chemistry are compulsory but physics is required for clinical medicine course,phamarcy e.t.c NACTE na WIZARA YA AFYA wao ndiyo watajua wenyewe cha kufanya kutokana na mfumo uliotumika mwaka jana,usipende kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo japo NACTE wamesema

Una evidence na ukisemacho au unasema tu!!!!!!
 
Una evidence na ukisemacho au unasema tu!!!!!!

jamaa alichosema ndivyo ilivyo gov & priv kama huna hizo sifa kwa sasa wala usipoteze muda wako tena vyuo vya govnt wanataka ziwe kwenye wastan wa 28 mimi ni mdau
 
Back
Top Bottom