Isidingo itaendelea kuwepo tu, ishafikisha miaka ishirini n bado nzuri kichizi,
Tuombe Mungu hicho kituo kisije kikamfuata muanzilishi wake huko aliko.Kabisa, toka destiny iishe ni wiki sasa hmna ata tngazo. La tamthiliya mpya
Mkuu ungeendelea kuangalia hapo ulipoikuta ungekuwa umeelewa. Uvivu umekukosesha uhondo.Ianze nyingine ili tukiozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Anza kusoma uzi huu tangu post ya kwanza.Wapya tutafanyaje ili tupate mtiririko wake
Yah it is possible mbona sasa itashuka hadhi ya kuwa Super brand,Tuombe Mungu hicho kituo kikamfuata muanzilishi wake huko aliko.
Anza kuifuatilia kidogo I'm sure utaipenda mm nilianza wakati npo high school nikaipenda mno .Wapya tutafanyaje ili tupate mtiririko wake
Wewe hujui Isidingo sio kama Telemundo, ukiamua kuifuatilia ndani ya muda mfupi tu unaelewa. Muundo wa hadithi yake ni wa matukio ya kila siku ndani ya Horizon DeepIanze nyingine ili tuliozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Ingekuwa inahusu tukio fulani tu basi story yake ingekuwa imeshaisha ila mule ni maisha ya kila siku. Kwahiyo mule watu wanaondoka, wanarudi,wanakufa ndiyo maisha hayo hivyo hakuna mwisho.Ndiyo
Hivi ilikuwa mwaka gani wakati upo high school ?Anza kuifuatilia kidogo I'm sure utaipenda mm nilianza wakati npo high school nikaipenda mno .
Juzi tu apo 2014Hivi ilikuwa mwaka gani wakati upo high school ?
Mbona hiyo hadhi ya u supaburandi ilishapotea.Yah it is possible mbona sasa itashuka hadhi ya kuwa Super brand,
Kabisa sio kwa hizi huduma hiziMbona hiyo hadhi ya u supaburandi ilishapotea.
DuuuuuuuJuzi tu apo 2014
Skupata nafasi ya Jkt Mungu ni MkuuDuuuuuuu
kweli ni juzi. Toka hapo ukapelekwa jeshini sio
Ila ulitamani kwenda ?Skupata nafasi ya Jkt Mungu ni Mkuu
Nope neverIla ulitamani kwenda ?
Mimi jina langu lilitoka niende kambini wakati huo huo HESLB wametoa majina na nkabahatika na 100% . Nkachagua kuwasikiliza HESLBNope never
Fata Magul ni Fox Life mkuu sio St NovelaSasa ni kuhamia st novela kule ni tamthilia Kwa kwenda mbele.
Kuna kipindi walikuwa wanaonyesha moja inaitwa fatmagul aisee mule wamecheza alaf ni ya kituruki
Au ile ya white slave daah, mista sio mpenzi Wa tamthilia lakini ile alikuwa anaifatilia mpaka ratiba anajua inaanza saa ngapi
Kabisa, toka destiny iishe ni wiki sasa hmna ata tngazo. La tamthiliya mpya