When love is gone from your marriage this is what you get. #everyonehighlightsfollowerseveryonehighlightsfollowerseveryone #everyoneactiveviewers #everyonehighlights #everyoneactive #marriage #family...
😭😭😭 huyu dada ametengana na mwanaume wake ambae wame bahatika kupata watoto 2 sasa huwa anakuja kwa mmewe kufanya fujo akidai kuna vitu vyake apewe mme nae ana mrecode nakuweka tiktok
.
sasa leo kanitafuta huku akiniuliza je ni sawa ninavyo fanyiwa kurecodiwa nakupostiwa mitandaoni . nikamjibu siyo sawa .
.
nikamuuliza swali je unampenda bado hapo akapata kigugumizi nikamwambia usiongee nimeelewa nikamwambia mnacho fanya nyie nikutesa watoto ombaneni msamaha mlee WATOTO sababu watoto wamebaki kwa baba yao na mfanya kazi tu
.
wanawake mwanaume kama bado unampenda usiache kuomba msamaha pale unapo kosea yani kwa kawaida tu unaona dada ni mkorofi si kwa ubaya
nikamwambia nipe namba ya mmeo akasema sawa aka kata sim mpaka sasa hajanitumia nilitaka nimuombee msamaha watoto wameniuma sana
.
Ndoa ndoana...si mchezo.Inabidi mmoja awe na nguvu kihisia - emotional intelligence..la sivyo stress haziishi.
Cha msingi kwa mwanaume: Usijifanye kumjua sana mama, usitake na kujitia kiherehere cha kusolve matatizo yake ya kihisia - moods, usijali sana - fuatilia kwa mbali na akili pesa zake - ukiingia kichwa kichwa kinawaka, usijali sana vitu anavyopush kama viko nje ya uwezo wako - jikadilie.Mengine tumuachie Mungu tu...hakuna mbobezi wa haya mambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.