bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,364
- 23,489
Ndoa haina Bruce Lee kuna jamaa yangu alioa kwa mbwembwe nyingi sana akatutenga washikaji akajona ameyapatia sana kumbe wajuzi walikua wanamuhesabia mda , mwaka hauja isha tayari hakukaliki ndani jamaa kawa mlevi ugomvi kidogo tu mke anadai waachane
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hivi anakula ile sehemu tamu laini ya mua bado hajafika kwenye fundo
Jr![]()
Sent using Jamii Forums mobile app





