Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nakupenda mm we mdada jamaniHahaha yaaani wewe ni mama muinjili





Mungu wangu azidi kukuweka tu kwa ajili yangu Asante Melo kwa kuanzisha jf na kunikutanisha na sakayo wangu
Ni vile ninavyokusumbua kila siku na mazonge yangu na kukulilia hunichoki jamani msiri wangu mm

