Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?Habari JF.
Kama mjuavyo tarehe 01/06/19 ndiyo mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki humu nchini.
Je ni upi mbadala wa mifuko hii ili kutoleta adha kwa wafanyabiashara na wateja ktk maeneo mbalimbali?
Je serikali yetu tukufu na sikivu imejipanga vipi kutatua changamoto zitokanazo na marufuku hii?
Karibuni.
Ngoja wataalum wajeHivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
... hizo akili tunazo? Tunasubiri mjapan agundue.Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
Kazi kwelikweli, Technolojia duni yatudunisha.... hizo akili tunazo? Tunasubiri mjapan agundue.
Ni kweli katani, kama wazalishaji wa katani wanaweza kuliona hilo ombwe basi hii itakuwa fursa nzuri kwao kwa sababu ni moja kati ya vifungashio vizuri kwa bidhaa kavu. Kwa upande wa bidhaa zenye asili ya majimaji kutakuwa na mtihani kidogo lakini binaadamu haishiwi fikra kila tatizo lazima ufumbuzi utafutwe.Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
Naona hizo daliliNi kweli katani, kama wazalishaji wa katani wanaweza kuliona hilo ombwe basi hii itakuwa fursa nzuri kwao kwa sababu ni moja kati ya vifungashio vizuri kwa bidhaa kavu. Kwa upande wa bidhaa zenye asili ya majimaji kutakuwa na mtihani kidogo lakini binaadamu haishiwi fikra kila tatizo lazima ufumbuzi utafutwe.
ANGALIZO: Ifikapo hiyo siku usije shangaa kiongozi mkuu akabatilisha hilo jambo
Au magazeti, daaaaaaaaahhhhKuna ile mifuko ya khaki tuliyokuwa tukitumia enzi zile ni muda sasa wa kuzirejesha.
KivipiMigomba
Kisangu cha nyama
Majani ya migomba inatumika vizuri tu kwa kuhifadhia vyakulaKivipi
Duuh, kisangu!Kisangu cha nyama