hahahaha mkuu diploma kupata mkopo mwaka huu ni miujiza inahitajika
Kuna namna unatuchukulia diploma holders kwani tofauti yetu na form six nini, sisi tumesomea kazi na wengine tuliweka nafasi ya kwanza technical college ,wote sisi ni sawa hakuna anayestahili mkopo zaidi kuliko mwingine ,huu ni utaratibu tu wakuanza na form six leavers alafu diploma holders, kwahiyo hakuna miujiza kwetu kupata mkopo na inawezekana form six leaver hakakosa na diploma holder akapata brother.