succinate coA hydrogenase
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 185
- 223
Kamq product ya elimu unayoiongelea wewe ni hio inayotoa watu kama wewe wasio na courage hata ya kumkosoa mtawala wako sehemu ambayo wrong basi ni bora huo mkopo mdogo wangu asiupate na asiende shule akaharibiwa akili na kuwa kama wewe... Msomi gani usiyekuwa na vision.yani huwezi kuona mbele walau mwaka mmoja baada na bado kama taifa tuseme tuna wasomi tunaojivunia kama wewe...hopelessHeshima lazima irudi, villaza na mabweghe kama wewe taifa halitozalisha tena kwa spidi hii ya JPM.
Anza kujitambua.