Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

Sir Dokta .. nimeona st john pharmacy hata ukipewa 100% mkopo lakn lazma uongeze million 1.4 kwenye ada kama ni kweli watoto wa masikini tutawakosa apo
 
yaani ww kama mm Jana nililogin nkakuta nimepata yaan loan breakdown na zile mbwembwe zao cjui research,meal&accmdtn lkn Leo asubuh nalogin nakuta wameandka not allocated for 1st batch nimedata hapa na nmejalib malanyng nying bt bado wanaandka not allocated katka first batch
duh pole aise
 
Polee
 
Kuna mambo mawili hapa ya msingi
1. Percent ya mkopo ni kwa ajili ya ada ya chuo (tuition fees) ambayo kwa vyuo vingi ni around ( 700k- 1.8m) ambayo wengi wenu mliimudu na hata kuwa zaidi kwa shule zenu za secondary ( hasa private). Kwhy kama umepewa asilimia kadhaa ni ya ada, na kama una zero it means ada utailipa yote
2. Pili, Hata kama una zero hapa utapata, meals& accommodation , books & stationeries and research/Field allowances
 
Tangazo la wizara kuhusu vigezo vya kutoa mikopo mwaka huu linasema mtu atapatiwa mkopo kulingana na tathmini ya uwezo wake (means testing) katika vipengele vyote. Ukipata 0% ya ada vivyo hivyo itakuwa kwa bumu na vipengele vingine. Labda wabadilishe
 
Swali langu kwa bodi ya mikopo, naona hizo pesa mnatukopesha kama mtakavyo....Na sie mtuache wakati wa kurudisha turudishe TUTAKAVYOOOOOOOOOOOOOO!.. Maana hamna namna...
 
tunasema tanzania ya viwanda alafu hao wasomi wa kusimamia viwanda hawapewi mikopo ya kujiendeleza na elimu ya juu hii inakaaje
 
Back
Top Bottom