Mada gani zilikushawishi ukajiunga Jf?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,477
25,403
Mimi mada zilizonivutia mpaka nikajiunga humu JF ni kuhusu mambo ya vyuo

Nilikuwa naona kupita kimya kimya bila kuchangia chochote napitwa na mambo mengi ndipo hapo nikaaamua kujiunga humu .

Wewe ni mada zipi zillikuvutia?
 
mkuu kulikua na watu kama
kaunga
EricB52
kongosho
mwali
madame b
madam x
chaichungu
Asprin(babu)
philipo
Vindisel
rutashob...
sweetlady
firstlady
mwita maranya
hao na wengine wengi walikua wana utani fulani jukwaa la mapenzi na chitchat hapo lazima uvutike kujiunga

kwenye tech watu kama
chief mkwawa
njuunwawamavoko
mwalimurct
waheedsuday
youngmaster
na wengine weengi ambao sijawataja wanakudadavulia kitu mpaka unakubali mwenyewe

kule jukwaa la intelijensia

unakutana na watu kama
kiranga
punjab singh
Eiya
(mwana dada mmoja hivi simkumbuki)
Infantry soldier
kahtaan
na wengine weeeengi wakibishana kwa hoja utaachaje kuvutika kujiunga na jf?

kwa madaktari huko unakutana na mzizi mkavu

yaani KIFUPI NILIVUTIWA NA MADA KIBAO MPAKA NIKAJIKUTA NIMEJIUNGA TU
 
Mimi nilivutiwa na NEMBO peke ya JF.

nilipoingia ndipo nilipojikubali kuwa sikuingia chaka.
Humu ndani kila mada ni nzuri na inaelimisha kulingana na msomaji,
 
Nliandika gugo madhara ka kupiga puli nikaona uzi ambao unakuja jf,,,bwana wee nkakutana na vioja watu wanadiscus hi kitu cha kushangaza wengi wakawa wana sapotiii puchu ,,,,lahaula!!! Baada ya kupekua pekua nakutana na majukwaa kadhaa ambayo hoja zake na thread zake zinanikosha,,,,huo ndio ukawa mwanzo wangu mpaka kua na akaut zaid ya moja
 
mkuu kulikua na watu kama
kaunga
EricB52
kongosho
mwali
madame b
madam x
chaichungu
Asprin(babu)
philipo
Vindisel
rutashob...
sweetlady
firstlady
mwita maranya
hao na wengine wengi walikua wana utani fulani jukwaa la mapenzi na chitchat hapo lazima uvutike kujiunga

kwenye tech watu kama
chief mkwawa
njuunwawamavoko
mwalimurct
waheedsuday
youngmaster
na wengine weengi ambao sijawataja wanakudadavulia kitu mpaka unakubali mwenyewe

kule jukwaa la intelijensia

unakutana na watu kama
kiranga
punjab singh
Eiya
(mwana dada mmoja hivi simkumbuki)
Infantry soldier
kahtaan
na wengine weeeengi wakibishana kwa hoja utaachaje kuvutika kujiunga na jf?

kwa madaktari huko unakutana na mzizi mkavu

yaani KIFUPI NILIVUTIWA NA MADA KIBAO MPAKA NIKAJIKUTA NIMEJIUNGA TU
ukimuita mzizi mkavu Daktari unatukanisha Hii Fani kaka.

Sema mganga wa kienyeji. hio pia ni fani vile vile.
 
ukimuita mzizi mkavu Daktari unatukanisha Hii Fani kaka.

Sema mganga wa kienyeji. hio pia ni fani vile vile.
hahaha mkuu nimefarijika kukuona ila ile avatar yako ya zamani ndo ilikua inaendana na jina lako na aina ya post zako
 
hahaha mkuu nimefarijika kukuona ila ile avatar yako ya zamani ndo ilikua inaendana na jina lako na aina ya post zako
I'm glad to be back too.
Niliamua kuchukua likizo ndefu kidogo.

Tuko pamoja Mr Q.
 
Back
Top Bottom