Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Na mchoro wa kwenda site anaandaa injinia! Na kabla mchozo haujapelekwa site lazima proffessional engineer aupitie atie saini na muhuri baada ya kuhakikisha mchoro unakidhi viwango!!Shida hapo ni michoro au workmanship? hata ugali siku nyingine hauivi
Kusema kwamba ugali hauivi katika uhandisi ni kosa kibwa sana...hapo injinia na architect wake watoe maelezo ya kutosha!!