Macontractor wazawa na makosa katika ujenzi

Macontractor wazawa na makosa katika ujenzi

sawa lakini hapo juu nimemuelezea mwenyewe
Comrade wasikuvuruge Hao sasa Mtu anatoa udhaifu wa Kitu afu anaambiwa aeleze alitaka kiweje Ananza kutoa povu sasa kukosoa what for bila kutoa suggestions? Huyo jamaa alinyimwa Kazi apo ndio amekuja kumchafua mwezie
 
poa mkuu labda alinielewa vibaya..ila mimi nilikuwa namwambia ungependekeza iweje
 
Wapi nimeandika ninayo picha niitakayo mimi hiyo nyumba iwe zaidi mimi nimeonesha makosa haswa ya hicho kipaa kidogo kuwa kimepinda na pattern ya bati haifanani.... Maoni na ushauri ni vitu viwili tofauti so wewe unanichukulia as if nagombea kazi au nilinyimwa tenda hapo no. mimi naonesha Uzembe wa Makampuni ya Ujenzi katika Usimamizi duni... Mwenye akili anaelewa so nimekushangaa wewe kama upo sawa au Upo Tingasi
Wewe kama wewe ungefanyaje hapo...
 
Hapo nampa lawama engineer na architect!! Wao ndio wamefanya huo ujinga! Huwezi design alafu usiwe unasimamia kuona maendeleo!!

Lakini pia hao wakandarasi japo wanafwata mchoro ila pia nao ni wa kulaumu...kama waliona shida kwanini wasingewasiliana na engineer aliyeandaa mchoro??

Je ERB na CRB wako wapi?? Kabla ya kuanza ujenzi hawakukagua michoro??

Tuna safari ndefu sana!!

On which ground unawalaumu ma Archtecture na Engineer (Structural)?
Archtechture mlaumu kwa muonekano wa jengo
Structural engineer mlaumu kama jengo litafail baada ya kujengwa.

Wa kulaumiwa hapo ni Mkandarasi na Client mwenyewe kwa kutokuweka his Clerk Of Work (COW)
 
Siamini ujinga wako mtu verified person pia sijaandika popote kuwa mimi ni mjenzi au nina jenga... so hivi sometimes huwa mnaquote mkiwa sober or? remember this is not your fight

Sober manake MTU hajatumia kilevi cha aina yoyote mkuu,sijui ulikua unamaanisha kitu gani,?
 
Sitaki kuamini kuwa contractor ni Super construction... Huyo ni first class contractor ujue. Labda mwenye jengo kanunua kibao...
 
Mi naona swa tu sijui kwa vile sio fani yangu. Apa aje mjamzito nampima namuhudumia mwanzo mwisho na kumkabidhi mwanae
 
Siamini ujinga wako mtu verified person pia sijaandika popote kuwa mimi ni mjenzi au nina jenga... so hivi sometimes huwa mnaquote mkiwa sober or? remember this is not your fight
Contractor na Fundi who is who
 
Hapo nampa lawama engineer na architect!! Wao ndio wamefanya huo ujinga! Huwezi design alafu usiwe unasimamia kuona maendeleo!!

Lakini pia hao wakandarasi japo wanafwata mchoro ila pia nao ni wa kulaumu...kama waliona shida kwanini wasingewasiliana na engineer aliyeandaa mchoro??

Je ERB na CRB wako wapi?? Kabla ya kuanza ujenzi hawakukagua michoro??

Tuna safari ndefu sana!!
Shida hapo ni michoro au workmanship? hata ugali siku nyingine hauivi
 
Wadau katika picha hapo kwa uangalifu wangu kwa macho tu nikitizama paa limepinda na pia bati za paa kubwa zipo sawa kiaina lakini paa dogo bati zimepangwa kama slash \\\\\ pattern zake Nadhani Contractor hana umakini Jengo la zamani hilo la Muitaliano wa Slipway aliyeliuza kwa Computer Centre mwanoni lilikuwa n vigae vilivyopangwa vizuri na kupendeza ila now am sure litachekesha katika majengo ya city center... kwa Wataalam na wajuzi wa kujenga tupeni Utaalam wenu ila kwa upande wangu hao wajenzi sitowalipa hata senti... Nitawaonyesha Unyambilisi ni sawa na mtu aje kujifunzia ukinyozi kichwani kwako. Nadhani mteja hajaona au yeye ndie kaleta ubazazi liwe hivyo?
View attachment 528130
View attachment 528131
View attachment 528132
We inakuhusu nn hilo jengo. Au unaumia umechangia kiasi gani?
 
Hapo nampa lawama engineer na architect!! Wao ndio wamefanya huo ujinga! Huwezi design alafu usiwe unasimamia kuona maendeleo!!

Lakini pia hao wakandarasi japo wanafwata mchoro ila pia nao ni wa kulaumu...kama waliona shida kwanini wasingewasiliana na engineer aliyeandaa mchoro??

Je ERB na CRB wako wapi?? Kabla ya kuanza ujenzi hawakukagua michoro??

Tuna safari ndefu sana!!

Mkuu Changamoto yetu waTanzania ni kuendekeza njaa. By the way wengi unakuta kazi wanazijua vizuri tuu. Nina uzoefu. Ukishafanya mistake ya kuwalipa hawa mafundi..aisee.hesabu maumivu. Siku hizi mimi nikiwapa kazi tunalipana kwa awamu. Na hela nakuwekea benki kabisa. Haya mambo ya kunipigia simu ..boss nimeishiwa..nina njaa..and alike. I don't entertain. Kama ni ujenzi. Tunakubaliana kabisa. Ukimaliza msingi hela yako ni hii. Ukimaliza boma ni hii. Na nikiona hatuendi sawa tunaachana salama kabisa.
 
Mimi siamin kama ni malipo duni! Huo ni usimamizi MBOVU KABISA!! kuanzia engineer...architect mpaka mkandarasi na injinia wake!!! Hapo usimamizi ni mbovu period!!
Tatizo wanafanya kazi kwa mazoea.
 
On which ground unawalaumu ma Archtecture na Engineer (Structural)?
Archtechture mlaumu kwa muonekano wa jengo
Structural engineer mlaumu kama jengo litafail baada ya kujengwa.

Wa kulaumiwa hapo ni Mkandarasi na Client mwenyewe kwa kutokuweka his Clerk Of Work (COW)

Kwanza naomba ujue tofauti kati ya architecture na architect! Hapo unaongelea mambo mawili tofauti kabisa!!

Haya tuje kwenye hoja yako!!

Je unaelewa kazi ya engineer katika mradi??

Je unaelewa kazi ya mkandarasi katika mradi???

Kwa kifupi mkandarasi ni mtekelezaji tu wa kicho dizainiwa na mhandisi!!

Sasa kama mhandisi na architect ambao wote wana wajibu kusimamia mradi na mpaka level hajaona ilo kosa unadhani anatakiwa alaumiwe nani???

Kumbuka engineer ndiye anatia saini mkandarasi alipwe pesa kwa level flan iliyofikia...na kwa injinia makini haidhinishi pesa kabla hajaenda site kukagua!! Na kama angekakua anakagua angeona hayo madudu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom