Machungu ya kukosa ajira

Aloo mkubwa mbona kama unapitia makubwa zaidi, ila jipe moyo ipo siku ndoto zako zitatimia
 
Mm ni graduate 2020 ,nipo moshi sina mishe ya kufanya ya maana zaidi ya ku bet ndo inanifanya niwe na uhau , demu sina , natamani nipate mahali wauza k vant , niwe naenda mara moja maana jana nilimtusua muhindi , pale GAL SPORT MOSHI (ukipajua kausha )
 
Nenda malindi
 
Duuu comment ndefu hadi sijaimaliza
 
Porto kafa mbili huko
 
Bayern alitoa sare
 
Ukiwa jobless afu michongo huna unakosa hata confidence ya kutongoza dem, nishapoteza wadada kadhaa ambao baadae nilikuja kujua ni vile tu sikuwa na mbele wala nyuma. Acha mzee hapo lazima upate permanent membership card ya chaputa
Kum face mchuchu ukiwa huna posho ni kigingi, kila demu mzuri lazma utakuwa unamkwepa tu sababu unahisi gharama zake hutaziweza.
 
Vipi kazi ya ukarani wa sensa ulipata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…