2018
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 547
- 795
Aisee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki, ni ngumu sana kukubaliana na hii hali ya kukosa ajira hasa ukikumbuka miaka mingi uliyoipoteza kuipata elimu, 1+7+4+2+3/4/5 years in school halafu unafika mtaa unakutana na stori za kujiajiri halafu ukicheki huna hata mia ya mtaji.
Wengi watabeza na kukejeli lakini kwa wanaopitia hali hii wanaelewa uchungu na mateso yaliyomo hasa kifikra na kihisia, it's very hard to live it.
Namuomba Mungu akatufanyie wepesi vijana wenzangu wote tunaopitia hali hii na ikafike mwisho kabla mwaka huu haujaisha either tuwe tumepata ajira au mitaji kwa ajili ya biashara au kilimo au ishu yoyote.
Zaidi ya yote usiombe uwe ulijifunza na kubet ukiwa chuo au ukiwa mtaani, hio ndio balaa zaidi, unaweza ukasema hii buku em ngoja niikuze walau nipate elfu tano, Bayern Munich anapigwa wakati kila game alikua anashinda.
Oyaa sio poa wazee, sema fresh nothing is permanent.