Nakupenda mpenzi wa maisha, maisha aaah na mimi moyoni
Nafuraha tele moyoni kuwa wako mwenzi wa maisha
Natoa yatoisha toka moyoni mwangu
Nimekuchagua we uwe wangu, vipangimizi vingi waliweka
Asante Mola tumevuka tu pamoja sasa
Wenye kusema wache waseme nakupenda wanipenda
Furaha twaidumisha, nitakuwa wako maisha utakuwa wangu kabisa
Siku yangu imefika, imefika aaa namimi moyoni
Nafuraha tele moyoni kwa kupata mwenzi wa maisha
Nami naahidi nitakupa vyote, tangu sasa hata milele
Siku yangu imefika , imefika aaah na mimi moyoni
Nafuraha tele moyoni, furaha furaha
Furaha tele moyoni, furaha furaha, furaha tele moyoniii
Eeeh..ulalalaaa laaaaaaaaa oooh
Ooooh..hiiiiiiii
Uuuh huuu..ulalalalaa laaa..uuuh..aaaaah
Oooh..ulalalaaaaa
Natoa machozi ya furaha, furaha furaha kwani penzi letu limekwisha ota mizizi
Umekuwa wangu la azizi nami naamini tutaishi sote, tutapita na pande zote
Nimekuwa wako mahabuba kaeni kando acheni pupa tutapita pote
Pande zote mahali pote wenye kusema na waseme
Nakupenda wanipenda umekuwa wangu wa maisha, wa maisha wa maishaaa
Mmh! Eeeehhhh..eeeeh
Ulalalaalaaaaa ninalo penzi la milele, moyoni mwangu
Ninatoa machozi ya furaha aaaah..yeeeeeh
Ninafuraha ninalo penzi la milelee
eeeeh..aaaah..mmmmh!
[video=youtube_share;akWpN97hvWc]http://youtu.be/akWpN97hvWc[/video]
:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah: