Ukitaka kumkomoa mtu anaetaka kukusoma, vaa sun glasses.Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na umbo zima la usoni
Kuna macho ya mshangao
Kuna macho ya majonzi
Kuna macho ya kuogofya
Kuna macho ya soni
Kuna macho ya hasira
Kuna macho yanawaka nk nkView attachment 424363View attachment 424365 ni ngumu sana kupata picha halisi ya hisia za mtu kama hujaona macho/uso wake
Sasa kuna haya macho yasiyobeba hisia zozote na hii ni kitu kinachotoka moyoni na kwenye ufahamu! Macho ni tochi tu ya kumulika lakini hisia ziko ndani ya moyo na ufahamu
Macho ya namna hii wanayo watu katili watu wenye rohombaya watu wanaotisha wasio na hisia zozote za kiutu ama kibinadamu.! Macho hubeba uhalisia wa mtu kwa kiwango cha juu mno View attachment 424367 ukiwa kwenye jumuiya leo iwe ofisini sokoni au kwenye usafiri chunguza macho ya watu utagundua mengi
Hahahaha kweli mkuuNa kama watu wengine wasivyojua matumizi ya miwani myeusi ndio hivyo hivyo wengine wasivyojua matumizi ya utambulisho bandia
Dah! nipo kwa ofc moja nadai madai yangu wananisumbu kweli,sasa ngoja nitinge ofcn kwa manager nimcheki mijicho yake kwanzaMacho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na umbo zima la usoni
Kuna macho ya mshangao
Kuna macho ya majonzi
Kuna macho ya kuogofya
Kuna macho ya soni
Kuna macho ya hasira
Kuna macho yanawaka nk nkView attachment 424363View attachment 424365 ni ngumu sana kupata picha halisi ya hisia za mtu kama hujaona macho/uso wake
Sasa kuna haya macho yasiyobeba hisia zozote na hii ni kitu kinachotoka moyoni na kwenye ufahamu! Macho ni tochi tu ya kumulika lakini hisia ziko ndani ya moyo na ufahamu
Macho ya namna hii wanayo watu katili watu wenye rohombaya watu wanaotisha wasio na hisia zozote za kiutu ama kibinadamu.! Macho hubeba uhalisia wa mtu kwa kiwango cha juu mno View attachment 424367 ukiwa kwenye jumuiya leo iwe ofisini sokoni au kwenye usafiri chunguza macho ya watu utagundua mengi
Ukiingia mtumbulie macho bila kupepesa na ili upate confidence zaidi mwangalie juu kidogo ya macho yake utakuwa unaona paji lake lakini yeye atadhani unamwangalia yeyeDah! nipo kwa ofc moja nadai madai yangu wananisumbu kweli,sasa ngoja nitinge ofcn kwa manager nimcheki mijicho yake kwanza
by using fake ids ni muendelezo uleule wakujaribu kujimulikia jinsi tulivyo,mioyo yetu ipendavyo tuwe ama wengine watutazame kwa mifano like someone calls himself/herself simba,black butterfly,mchizi mox,dog,Ingenja n.kNa kama watu wengine wasivyojua matumizi ya miwani myeusi ndio hivyo hivyo wengine wasivyojua matumizi ya utambulisho bandia
Namuona ana mimacho myekundu afu ni kama jana kalala kayatwika,jicho kavu kama linalembua,halieleweki eleweki,kama linataka kutoa machozi hv.siwezi tu kumpigga picha ningekuonyesha maana ninae hapaUkiingia mtumbulie macho bila kupepesa na ili upate confidence zaidi mwangalie juu kidogo ya macho yake utakuwa unaona paji lake lakini yeye atadhani unamwangalia yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwaka Jana nilikwepa kodi nikadakwa na askari mmoja kabla jamaa hajaanza hata kunihoji alinitazama usoni kwa dk kama 3 halafu haongei kitu... Dah! Ilibidi niwe mpole tu na kufunguka ili yaishe.. Maana alikuwa anatisha kama macho ya bundi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu eehNamuona ana mimacho myekundu afu ni kama jana kalala kayatwika,jicho kavu kama linalembua,halieleweki eleweki,kama linataka kutoa machozi hv.siwezi tu kumpigga picha ningekuonyesha maana ninae hapa
View attachment 424394[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mshana jr me macho yangu yako kama ya chura..... hizi hisia sijui ni za anko Akilimali au za Manji?