Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
ndo matatizo ya kupenda utotoni hayo
ndo matatizo ya kupenda utotoni hayo
Macho yanachekaaa, moyo unaliaa
Macho yanachekaae,moyo unaliaa
Nikimkumbuaaa wangu maridhia,
Nikimkumbuuka wangu maridhiaa,
Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa,
Chozi hunitoka mie kwa zake tabia,
Baki na mashaka naanza kuliaaa,
Baki na mashakaa mie nalia naliaa..
Jamani hayo ni mashairi ya wimbo Taarabu ulioimbwa na Bi shakila kutoka Tanga.
Tili tili lili
Wewe ni bimalika au?
Nilijua tu huwezi kukosa,wadau wa juma bhalo