Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
...Alipo fungua thread akitaraji kucheka na kukuta hamna lolote!!
kubwa nini?kubwa....
kubwa nini?
...Baada ya mwendo mrefu baniani mmoja aliamua kujipumzisha dukani kwake ambapo mtoto wake alikuwa akiuza.
Ghafla akaja mkinga mmoja na kuanza kuagiza bidhaa moja baada ya nyingine!
Kwa kila bidhaa aliyo agiza,kuna msukule pemben uliochukua nyongeza.
Ile kutaka kuondoka tu,baniani akamwambia,"hapana bana,lipia bidhaa zako na aidha acha msukule wako hapa au utoe tigo!!!"