Macho ya Wanaume

Hahaaa. Kwa sababu tu hata siwawezi kwa kweli.

Ila punguze bana kama sio kuacha kabisa.
 
kuna jamaa yangu yeye uwa akimuona anakuja kwa mbele basi anaanza kugeuka kabisaaa hahahahaha matangazo haya noma sana
 
Goigoi
huyo mwanaume rijali hatamanitamani njian
 
Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.

Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Unawaonaga wakatigani??, kama niwakati umepita akageuka kukuangalia??
Kama ndio" basi na wewe uligeuka kumuangalia otherwise usingejua kama anakuangalia.
So, hapo ngoma droo mwana mme na wewe, wote shingo feni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoongelea mie mkuu ni ile hali ya kuwa umefuatana na mtu kila baada ya hatua mbili mkipishana na mdada ye kageuza shingo ndio mana saa nyingine nakuwa sina jinsi zaidi ya kugeuka nami nione nini kinachoangaliwa.

Hivyo wala sio ngoma droo mkuu mi nageuka ili kujua nini kimekugeuza.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…